Search results

  1. M

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Hivi na wewe kweli, yale majibu ya Iran kwa Israel mbona ni mambo yakitoto sana??? Nilidhani Iran angejibu kwa mapigo ya maana, Kila siku Israel anaenda Iran au kwenye maeneo ya Iran, Nchi Jirani anauwa maofisa wa Iran nakuondoka.... Iran na yeye auwe hata General mmoja kutoka Israel basi
  2. M

    'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Gari za Gavoo hazina bima wala hazilipiwi kodi pindi zinapotoka huko zilikoagizwa
  3. M

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Kifo cha huyu jamaa! Kiliniacha hoi sana! Naweza sema kwamba alikua na hili tatizo la figo muda kidogo,lakini nakumbuka kitu kimoja! Kuna siku Magufuli akiwa Rais,alisema Makonda na Ruge ni vijana wake,wapatane wakae chini wayamalize,pale kwenye jukwaa Magufuli aliwaita wote Makonda na Ruge,na...
  4. M

    Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

    Kamaanisha kwamba Kamaliza Chuo mwaka 2009 Na sasa hivi kazaa mapacha na George Bantu
  5. M

    Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    32 mbona bado sana mkuu wangu! Hii miaka ya 32 bado kabisa unapiga zako round 4 zakibabe kabisa Labda kama una mambo yafuatayo 1. Magonjwa 2. Stress 3. Mke wako sio msafi,ukipiga kimoja tu,huna hamu yakurudia tena 4.
  6. M

    Nani anamdai Marehemu Lemutuz?

    Moja ya kosa ulilofanya nikuvunja nyumba ya Baba yenu nakujenga kwenye kiwanja cha Baba yenu!! Ulipaswa kujenga pembeni au kujenga sehemu nyingine kabisa, hii hapa kuna siku mtagombana na kaka/ dada/wadogo zako nakuanza kuambiana toa nyumba yako kwenye kiwanja cha Baba yetu, unless uwe mtoto...
  7. M

    Wazazi wa Binti Nusura wasema kwamba Mtoto wao hakufia kwenye ajali ya Dugange

    Kwani haipiti?? Wapi pameandikwa viongozi wa uma hawapaswi kula mbususu za wanafunzi?.
  8. M

    Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

    Wengi wenu hamujui ukweli wa hii kesi Aliyewagonga wale mabinti ni Mke wa Chenge na wala sio Chenge mwenyewe.. Chenge aliamua kuibeba hii kesi ili kumuokoa mke wake asiende na maji... Kumbuka mke wa Chenge aliwakuta hawa mabinti wanalewa na Chenge,ndipo wakachukua Bajaji haraka ili waondoke...
  9. M

    MwanaFA anatufundisha nini?

    Kama alisoma Advanced Diploma hapo sawa! Maana hata mimi nilisoma Advanced Diploma then, after 3 years nikaenda kusoma Masters Degree! Ila napo uwe na pass nzuri, la sivyo Post Graduate itakuhusu Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  10. M

    MwanaFA anatufundisha nini?

    Pumbavu huna akili! IFM kasoma Cheti cha IT, then kasoma Diploma ya Bima, then kaenda kusoma UK,Masters ya Finance! Sasa kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma hiyo ndude?? Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  11. M

    MwanaFA anatufundisha nini?

    Diss track kwa Gardiner Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  12. M

    Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

    Hata usukumani Makalla lipo! Makalla maana yake Mikaa! Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  13. M

    Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

    Mwigulu Nchemba! Pia ni majina ya wasukuma na sio Wanyiramba Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  14. M

    Magendo inayoendelea Mbweni, Boko na Kunduchi, serikali imejipanga vipi na Corona? Boadaboda ndio wasambazaji bidhaa za Dubai

    Lindi, Kilwa Kivinje na Kilwa Masoko pia kuna watu wanapitisha mizigo ya magendo sana
Back
Top Bottom