Search results

  1. POLITIBURO

    Nauza suzuki escudo 5 doors sh. 8.2 ml

    Gari ni AUTOMATIC, lina CC 1990, limetembea km 49,000 na ni la mwaka 1995. Kwa mwenye kulihitaji tafadhari ni pm tupeane details zaidi. Asanteni
  2. POLITIBURO

    Nauza suzuki escudo 5 doors sh. 8.2 ml

    Wana JF nawasalimu. Ninauza gari Suzuki Escudo milango 5 kwa Sh. 8,200,000/=. Gari liko Dar, lina hali nzuri na linatembea. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane.
  3. POLITIBURO

    mikopo ya vyombo vya usafiri ni ya wakubwa tu-hazina

    Jingalao, wewe unafahamu kabisa unadaiwa NMB, SACCOS na Bayport. Ni ngumu tu hata mtu wa kawaida kukukopesha siyo tu kutokukopesheka bali haukatiki!
  4. POLITIBURO

    Naomba list ya waliochaguliwa kujiunga na msc itm chuo cha ifm kwa mwaka 2012/2013

    Wana JF salaam. Naomba kwa mwenye link au list ya SELECTION ya Msc Information Technology and Management kwa mwaka 2012/2013 hapo IFM. Mimi niko huku Singida sijajua kinachoedelea. Please kwa aliye na list anijuze au ani pm. Asanteni
  5. POLITIBURO

    Natafuta mteja range rover for sale ya mwaka 2004

    Mkuu kama nimekuelewa ni kwamba hii 65ml ndo bei ya kuuza kwani kodi zote zimekwishalipwa na gari limesajiliwa hapa tz na liko tz na siyo vinginevyo. Nimeona picha nikajua ni pale naniiino. Mi ebu niwazunguukie masela nikirudi nachukua mzigo!
  6. POLITIBURO

    Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    Maswali mazuri sana. Lakini majibu yake ni mepesi kwa sababu ni ya ku shade kati ya "A" au "B". Sasa kazi kwenu kutafuta kushade libu unaloona ni sahihi kwako: A. Tujivue nguo tubaki na utupu wa mnyama ukweli ujulikane, tuhaibike, tudhalilike mfurahi B. Tubaki na nguo zetu, tufiche ukweli...
  7. POLITIBURO

    Kesi ya dawa za Kulevya: Mwintanga aachiwa huru

    Haki kutendeka ni pamoja na mtuhumiwa kutia hatiani, kuachiwa na hata kesi kutupwa. Hivyo haki kutendeka siyo lazima ushinde. Hata ukishindwa ni haki pia. Vile vile siyo ujuvi kulalamikia kila jambo kwani kwa mawazo ya baadhi yetu ni wazi kila mmoja hata bila ushahidi angeweza kuhukumu atakavyo...
  8. POLITIBURO

    Army ready to defend Malawi says MDF Commander Odillo

    Kajembe kama jina lako ulishiriki vita gani mbona hivyo jamani unawadanganya Wana JF?
  9. POLITIBURO

    Was Commander Barlow assassinated?

    Mimi naona kama tunapotoshwa na hadithi za Katulanda. Tanzania tuna uhaba kama siyo ukosefu wa Waandishi Wachunguzi ndiyo maana hata Taarifa ya Uchunguzi wa mauaji ya Mwangosi iliyotolewa na Waandishi wa Habari imeandikwa kama hadithi ambayo mwisho wake unatatanisha. Kwa tukio la Mwanza, Nasema...
  10. POLITIBURO

    Army ready to defend Malawi says MDF Commander Odillo

    Watanzania tutafakari haya ya HELIGOLAND TREATY hasa hapa "It is common knowledge that African boundaries were drawn by former colonial powers. The border between Malawi and Tanzania was set out in the treaty signed by Britain (representing Malawi) and Germany (representing Tanzania) in the...
  11. POLITIBURO

    january intake

    Ifm dsm
  12. POLITIBURO

    Nataka biashara hii

    Also try MAXCOM. THEY ARE DOING THE BEST. DON'T HESITATE TO FIND MORE, I WILL ASSIST!
  13. POLITIBURO

    Yanga imekwiba rambirambi za mafisango tukanyamaza na bado wametuhujumu kwa twite?

    Acha visingizo. Yanga waiibie simba nini? Sawa kama ni hivyo, basi Hata hizo za 40ml za Banc ABC Yanga watawaibia. Ila ukweli mnaficha ukweli wa fedha za rambi rambi ya Mafisango, mauzo ya Samata, Ochan n.k mnasingizia kuibiwa!!!!!!!!!!!
  14. POLITIBURO

    Updates: Hukumu kesi ya EPA leo

    Kweli nyie wachangiaji watu wa hajabu. jambo kidogo tu limewajaza upepo na kuwatoa relini na tayari mmepotelea porini na hakuna anayebani kuwa ndo mnazidi kupotezana maana mmekuwa vipofu. Ebu rejea kwenye mstari tusonge mbele sio kuzunguruka tu! Mada inasema "Updates: Hukumu kesi ya EPA leo". Ni...
  15. POLITIBURO

    JK: yaani hata ka alama ndio kananisumbua kila sehemu?

    Kuna Gamba moja lilikuwa likihutubia kwenye mkutano wa hadhara. Ulipofika muda wa wananchi kuuliza maswali na kueleza kero zao mmojawapo alinyoosha mkono lakini kwa msisitizo akanyoosha na vidole viwili. Gamba kuona hivyo alikasirika na kufunga kikao ghafla kwa kisingizio kuwa amepata dharura.
  16. POLITIBURO

    samaki mkubwa wa kula kijiji kizima..!!

    Haliwi huyo, shauri yenu!
  17. POLITIBURO

    Mnaonaje timu ta Taifa Ikiitwa "The Tanzanites" badala ya jina hili la sasa " TAIFA STARS"

    Wana JF, mjadala wa jina la timu ya soka ya Tanzania umekuja wakati muafaka. Ebu tukumbuke enzi hizo Kombe la Taifa likiwa na mashamushamu ya kila aina ambapo wkeli soka lilichezwa. Tujikumbushe majina ya timu zetu za mikoa naamini kila mmoja anayamaizi. Kumbuka timu ya DSM ikiitwa Mzizima Utd...
  18. POLITIBURO

    Msamaha wa kodi kwa watumishi wa umma kufutwa. Imekaaje?

    Hapana. Hili la kufuta exemption ni goligota kwa watumishi wenye mipango ya kununua magari. Nami naungana na wenzangu, muda utawahukumu wanaokubaliana na ufutwaji wa msamaha huu. Mtumishi huyu anakatwa kodi kibao bila kuwa na uwezo wa kujitetea. Mtumishi wa seriakali hawezi kukwepa kodi na...
  19. POLITIBURO

    Halmashauri za miji na wilaya zaongoza kwa mishahara mizuri

    Naona wachangiaji sio watuumishi wa halmashauri maarufu serikali za mitaa. Mi ni mwajiriwa wa SM. huku mishahara mizuri asikweleze mtu. Wengi wanahamia toka mashirika na serikali kuu. Kwetu kuzuri!
Back
Top Bottom