Search results

  1. kamwendo

    Mimba isiyotarajiwa

    Mimba isiyotarajiwa ni mimba ipi? Maana Hadi mnavua nguo na kusex bila kinga hamkujua matokeo yake? Mkuu, nakusihi uwe mpole Tu, usimpanikishe bint wa watu jitahidi kumpa ushirikiano. Mnaweza kulea Tu mtoto pasipo mchumba wako kujua. Mimi ni wewe Kabisa, Sema Mimi nategemea mapacha April...
  2. kamwendo

    Utata wa riba katika mikopo inayotolewa na Mabenki

    Mkuu mabank mengi yanatumia Mfumo wa Calculator ya EMI kupigia hesabu mikopo Yao. Mimi kabla sijakopa nilipiga hesabu Kwa calculator ya EMI na hesabu zilikuja Sawa na za bank.
  3. kamwendo

    Kuhubiri dini kwenye mabasi na standi za umma nao ni uhuru wa kuabudu?

    Una hoja, Ila binafsi sioni Tatizo la kuhubiri habari za Mungu mitaani. Mimi ni muislam, Ila kamwe sijawahi kuchukizwa na mahubiri ya wanaomtangaza Mungu. Hakuna dini inayohamasisha matendo mabaya. Dini zote zinatuhimiza kutenda wema na kuacha mabaya. Kwa jamii yetu ilipofikia, watu wengi...
  4. kamwendo

    Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Mwanaume unavaaje mabangili Ivo jamani!!
  5. kamwendo

    Washkaji wenye Afro mnafanyaje nywele zinakuwa nyingi kiasi hicho

    Acha kuwa na mawazo ya kizamani ww Hii ni dunia huru, sio dhambi kutamani anachokipenda. Kufunga nywele ni hobby Tu ya mtu. Hamuwezi kufanana kifikra. Kila mtu na style zake, Acha kumkebehi mwenzio.
  6. kamwendo

    Mfano ukapata shida ya ghafla, una mtu wa kukusaidia kwa haraka?

    Ila wanawake muna huruma Sana. Ni rahisi mwanamke kumsapoti mwanamke mwenzie Ila sio Sisi wakiume. Cha kuzingatia ni kuwa na vimradi viwili au vitatu ili vikusaidie unapopata matatizo. Sisi wengine hata tupate matatizo kiasi gani hatuwezi kujieleza Aiseeh!
  7. kamwendo

    Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

    Aiseeh!! Kweli watu tumetofautiana. Kwa muundo ule mbona naona Kama linatisha afu lipo chini Sana. Mimi huwa najiambia gari nyingi zilizopo chini sana ni kwaajili ya dada na mama zetu. Mkuu Kipendacho roho lakini, Kila la Kheri
  8. kamwendo

    Ni upi muda/umri sahihi wa mtu kufurahia maisha?

    Kwa mtazamo wangu, nadhani wakati sahihi WA kufurahia maisha ni pale ambapo wewe mwenyewe unaona Kabisa upo vizuri kiuchumi, kielimu na kimahusiano iwe na Mungu au mpenzi wako. Usipende kuyazingatia maneno ya watu, sababu mostly wanaokwambia hivyo hawajui umetoka wapi, umepitia yapi na upo...
  9. kamwendo

    Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

    Mkuu ebu fafanua kidogo kuhusu kunywa maziwa apo. Me napenda Sana maziwa Aiseeh!!
  10. kamwendo

    Ustaarabu na umakini unaweza kuipendezesha sehemu ndogo ya kuishi ikupatie mapumziko mazuri zuri

    Uzuri WA nyumba au chumba iwe ndogo au kubwa ni nidhamu ya usafi Tu. Kama unajijua ww sio msafi Wala mstaarabu kuishi kwenye eneo dogo kwako ni mtihani. Na usafi ni tabia sio kila mtu anayo.
  11. kamwendo

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Eti "Iryn unachochukia na kuninunia ni nini, wakati hatuna mahusiano yoyote Kati yetu" Mkuu, umefeli Sana hapa, hii sio kauli ya kuitoa Kwa mwanamke ambaye inaonesha anakuelewa Sana. Afu inaonekana Huwezi hata kubembeleza kidogo, Iryn anaamua Tu kusema muondoke hakuna Tena maongezi nawe...
  12. kamwendo

    NECTA rudisheni utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na cha sita kwa majina kilichotokea si kigeni mitaani huku

    Kisheria na kiutaratibu matokeo ni Kwa ajili ya aliyefanya mtihani sio Public. Siungi mkono matokeo kutolewa Kwa majina, Hata Kama zamani walitoa Kwa majina Hilo halihalalishi kuwa ni sahihi. Jukumu la kuona matokeo ni Kwa aliyefanya mtihani pekee. Awadanganye wazazi wake au laah!! Hiyo ni...
  13. kamwendo

    DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Aiseeh!! Na hiyo ndo hospital kubwa na maarufu Hapo unguja. Najiuliza uko mitaani, itakuwaje.?
  14. kamwendo

    Ifikie hatua tuachiane nafasi

    Kwa mtazamo wangu, watu wanaopenda kuwafatilia wenzao Kwa kila kitu na kila muda awe mwanamke au mwanaume ni watu ambao naona Kama Wana matatizo ya akili. Kiufupi sio watu wazuri wa kuwa nao kwenye mahusiano, haya matukio ya kuchinjana na kuuwana Kwa wapenzi ni moja ya matokeo ya kutopeana...
  15. kamwendo

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mwamba mbona design Kama unayumba hivi? Unaanzaje kwenda kikao cha kikazi na mchepuko Mzee. Eti Ooh upendi kubishana na mwanamke, unadhani dunia hii Kuna mwanaume aliyefanikiwa bila kubishana na mwanamke. Uyo Prisca ungemkazia Tu unaenda kibishi then unarudi na zawadi yake analainika maisha...
  16. kamwendo

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Aiseeh!! Yaani hakuna Jambo Baya Kama mwanamke akianxa kukuchukia. Ni hatari Sana, hasa mwanamke ambaye alikuwa anakupenda. Anaweza kukuharibia ndani ya Dakika Tu. Mbaya zaidi ni kama uyo mwanamke atakuwa ni mtu unayemtegemea Kwenye hustle zako. Ndo mana huwa sipendi mahusiano ya mapenzi...
  17. kamwendo

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Dadeki!! Umeandika kibabe Sana Mkuu. Mwanaume ndo anapaswa kuwa hivi Aiseeh!!
  18. kamwendo

    Hivi wanawake ni viumbe wa aina gani na wanataka nini hapa duniani?

    Siku utakayoanza kumuelewa mwanamke, ujue ndo siku ambayo umeanza kuwehuka. Hao viumbe ni pasua kichwa, Wana Mambo mengi Sana. Ukiwaendekeza hutotoboa.
  19. kamwendo

    Shida ya maji Dodoma itaisha lini?

    Katika vitu ambavyo huwa navizingatia katika harakati za maisha ni pamoja na kuishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni rahisi. Aiseeh siwezi kukaa siku mbili kuoga.
  20. kamwendo

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Muajemi kashazingua, sijui kalopoka nini Kwa Iryn? Yaani unaweza kukuta mtu ni tajiri Ila Kwa upande mwingine mweupe kichwani Hana cha maana ni mjinga mjinga Tu. Kweli Mungu hakupi vyote Aiseeh!!
Back
Top Bottom