Search results

  1. M

    Changamkia ajira hiyo: Wanahitajika wafanyakazi.

    deadline lini? ofisi ziko wapi?
  2. M

    hello

    Hebu sema unachotaka kusema
  3. M

    Airtel mbona mnatupandishia bei ya bundle bila taarifa?

    Acheni kulalamika kama gharama zimewashinda hamieni kwenye urahisi ila ndio mjue vya rahisi gharama vilevile
  4. M

    HIJABU: Pigia kura NIKAAB

    Hujui utendelo mungu akusamehe
  5. M

    Shortlist ya Hakimu mkazi daraja la II

    mwenye link atuwekee jamani
  6. M

    Chadema mla nae huliwa

    Kwa kweli ww unapaswa kuchunguzwa kiafya zaidi. Sio mzima wewe lazima una ugonjwa wa akili yaani tukumbatie wezi??? hata hai CDM wakiiba watawajibishwa tu...
  7. M

    Tujikumbushe Kikwete alivyoshuhudia udhalilishaji wanawake nchini Malawi

    hakuna udhalilishaji hapo. Mila nyingi za kibantu zinamtaka mwanamke kupiga magoti kwa mtu anatemuheshimu
  8. M

    NBC Salary scale

    kama huna cha kuongea kaa kimya. Si lazima kila kinachowekwa u-comment
  9. M

    Hii ni barua ya Promotion kweli hivi vikampuni binafsi vina mambo

    Hii kali, this is our country bwanA tutakomaje maskini
  10. M

    Itanichukua muda gani kusajiri kampuni brela?

    Hiyo TIN inatolewa kitengo gani pale TRA? nu lazima itolewe makao au??
  11. M

    Natafuta nyumba ya kupanga

    natafuta nyumba ya kupanga, iwe Tabata Kinyerezi, iwe na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Parking ni ya muhimu. Mwenye nyumba awe tayar kupokea miezi sita na isizidi laki 2 kwa mwezi
  12. M

    Kazi

    fanya juhudi za kutafuta shule kwanza
  13. M

    MEk-ELEKT ENTERPRISES COMPANY

    Kampuni ya Mek-Elekt inajishughulisha na electronic renovation, installation za CCTV cameras. Environmental cleaning, Car Rental, kutengeneza uniform za aina zote. Karibuni sana wadau. Kwa mawasiliano zaidi ummylard@gmail.com
  14. M

    Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

    angetueleza uswahilini anapaswa aishi nani??? na ni vigezo vipi vinatumika kupaita mahala uswahilini??? Je yeye yupo bungeni kutetea wananchi au kuanza categorization za uswahilini na anapopajua yeye. Hapa ndio anatuonesha jinsi wanavyotujengea matabaka. sijui nani kapeleka hii kitu bungeni
  15. M

    Sumalee afiwa na mama ake mzazi

    pole Suma.
  16. M

    Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

    huyo manyaunyau kama ni hodari amfufue Nyerere kwanza aje aone nchi ilivyoharibika
  17. M

    Natafuta mchumba wa kike miaka 24-27

    una hela????
  18. M

    Utapeli wa kujigongesha kwenye gari bado waendelea!

    njaa hiyo jaman sijui hata tumlaumu nani
  19. M

    Kampuni gani ya kukodisha magari(car rental) bei zao ni nafuu hapa dar?

    Aurora Rental Car, bei ni nafuu sana..ummylard@gmail.com nicheck kwa more details
Back
Top Bottom