Search results

  1. B

    Honestly, Hakimu Mkuu Simba amekuwa 'fair' sana kwa Mhe. Mbowe na wenzake

    Huu ni utashi wa hakimu, mtoa hukumu. Adhabu nyingi huunganisha faini na jela. Yaani unalipa faini9 na unaenda jela pia. Ila hakimu anaweza kutumia busara zake na haingiliwi na yeyote
  2. B

    Nimegundua baba alimharibu (sexually abused) ndugu yangu wa kike

    jenuu, HUNA SABABU YA KUUMIA WALA KUYAAMINI HAYO NA UKIAMINI HAYA NDIYO MADHARA 1. Utajiumiza mwenyewe moyo kuliko huyo aliyefanyiwa ambaye hata hayamuumi tena ana ndoa yake mambo yanasonga. 2. Usiamini kila kitu hata kama umeambiwa na dada yako, anaweza akawa na lake na akakutumia wewe kuua...
  3. B

    Botswana imeniingia Akilini

    Usidanganyike na picha, Angalia Dar ilivyo sasa.
  4. B

    Wadau nani anajua ufanisi wa waliosoma Montessori Teachers College Bagamoyo?

    Wadau nimeambiwa ni Chuo kizuri mwalimu akitoka pale anauzika sokoni ila sijapata maelezo kutoka kwa mtu mwingine ili nifanye maamuzi ya kumpeleka mwanangu pale akasomee ualimu wa chekechea.
  5. B

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    WANA JF, HAYA MAMBO HAYAFANANI KABISA, HUYU ALIKUWA NA MTAJI NA ANA MUDA WA KUFANYA BIASHARA. MIMI NIMEOMBA KUJUA BIASHARA YA KUFANYA WAKATI NIKIWA KAZINI, YAANI BILA KUWA NA MUDA MWINGI WA KUSIMAMIA BIASHARA HIYO.
  6. B

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wadau, niko Dar es Salaam na niko kazini. Lakini kama mjuavyo bishara nyingi ni kwanza lazima uwe unaijua na muhimu zaidi ni lazima uipe muda mwingi. Maana yake ikiwezekana usiwe kazini. Ninaomba ushauri wa biashara ambayo angalau inaweza kufanyika bila kuwepo kwa muda mrefu na bado ikafanikiwa.
  7. B

    Walimu wa masomo ya Sayansi wanapatikana

    Hili tatizo ni kubwa hapa nchini, kuna wengi wana vigezo ila hawajui kujieleza. Wewe unatafuta kazi, unaishia kusema tuko vizuri tu, hiyo ndiyo sifa gani? Weka picha za vyeti/ academictranscripts, weka CV, umefanya wapi kazi na kwa nini ulitoka, kama bado hujafanya kazi sema ukweli nk.
  8. B

    Sikutegemea kama nitakuja kumpiga mke wangu hata siku moja, lakini jana nimelazimika kufanya hivyo

    kyanyangwe, Mkuu, kwanza bado uliyekosea ni wewe. Maana huwezi kujiwekea principle alafu ukasema unaivunja. Iko hivi, ukiona dharau ya namna hiyo usikimbilie kupiga. Jitafakari inatokana na nini. Angalia hasa mambo ya fedha kama huduma ziko vizuri, kitandani nk. Kama hujaangalia hayo, leo...
  9. B

    Kenya wateta unafiki wa Profesa Kabudi kuipa Kenya kisomo dhidi ya ukabila

    Huyu mjinga gani ambaye hajiu Kiswahili na anaongea mambo asiyoyajua? Kenya kuna ukabila au hakuna?? Simple, kama upo, je umeleta madhara? Ndiyo. Kumbuka aftermath ya uchaguzi which claimed deaths of thousands. Huyu hajitambui. Somo hilo hata mtoto mdogo anaweza akawafundisha. Eti Nyerere nk...
  10. B

    Mbona watu wanaoonekana wakarimu ndio wabaya zaidi?

    Read this as well:: https://www.thecitizen.co.tz/news/business/1840414-5367310-3tafga/index.html
  11. B

    Mbona watu wanaoonekana wakarimu ndio wabaya zaidi?

    Who is this stupid guy who does not even know the meaning of a peace. You talk about peace in Kenya? Then you should go back to school and learn how to compare things. Tourism? Because you promote Mt. Kilimanjaro is in Kenya? Just compare earnings and see how Tanzania is way far beyond Kenya...
  12. B

    UKIMWI bado upo mazee, usiuze mechi kijinga!

    Hashpower7113, Hii nimeipenda mazee, umeipiga kisela na inaeleweka kinoma noma. Havuti mtu kiboya boya hapa lazima tufanye maendeleo tu, mamanzi hapana.
  13. B

    Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    Mkuu ungetwambiaje unafanya nini kwa sasa ili utifundishe, hili neno la NITAKOMAA halina definition.
  14. B

    Naombeni ushauri: Nina miaka 25, lakini karibia kila jambo ninalofanya linaishia kufeli

    Ushauri wangu, hakikisha unafanya hivyo bila kujali watakuonaje au watasemaje maana wewe ndiye adui ya maendeleo yako mwenyewe kuna kitu hujakijua, haya, tafuta nyumba ya ibada unayoiamini, mimi ninaamini ya kipentecoste, mtafute kiongozi wake kwa faragha mwambie yooote umuombe akupe ushauri...
  15. B

    Tofauti ya jaji na hakimu ni ipi?

    Oh poleni naona kuna utani na u serious kidogo. Mi nitakuwa upande serious! Aliyeelezea utofauti kati ya jaji na hakimu ameelezea vizuri kuwa , kwanza wote ni watoa haki mahakamani kwa kuttafsiri sheria, ingawa wakati mwingine wanaweza kutumia busara ka kufanya maamuzi ambayo pia yakawa sheria...
  16. B

    Unapanda lift za magari ya watu? Hii inakuhusu

    Mimi SITOAGI LIFT KABISA. Sababu??? Cha kwanza ni hicho, wakati mwingine unajua kabisa ka hela ka mafuta ndo hako kadogo unaogopa tu kuacha gari nyumbani!!!!! kazini wataonaje sijui. Stigma ipo tu hata ujifanya humaind. Cha pili, kuna jirani yangu alikuwa poa sana wa lift, hasa wanafunzi. Siku...
  17. B

    Nauza flat TV LG

    Niko seroius kununua niko Gomz. Tunawasilianaje au ushauza?
Back
Top Bottom