Search results

  1. tungibwaga

    Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

    Naomba msaada jamani kwenye kujisajiri kwenye mfumo wa malipo wa PAYPAL. Nimejaribu kufanya hivyo naona inaleta address na mitaa ya USA tu.
  2. tungibwaga

    Ufahamu mgogoro wa BREXIT

    Well said mkuu,uko vizuri sana
  3. tungibwaga

    Nataka kuacha kazi .

    Pole sana, Usikate tamaa hata kidogo hii hali inapita ,mawazo ya kujiua sio solution kabisa jaribu kutafuta watu wakupe ushauri wa kiroho, Mimi nakushauri mpe Yesu maisha yako yeye atakupa neema ya kipekee sana, Usiwaze tena kujiua kabisa ni dhambi lakini pia ukifa kwa njia hiyo lazima jehanamu...
  4. tungibwaga

    Gharama za DHL au UPS

    Mkuu tumia UPS wako vizuri
  5. tungibwaga

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba inakodishwa, ni two in one apartment zenye vyumba vitatu vya kulala, choo cha ndani, kimoja na cha nje kimoja kwa kila apartment, luku ya umeme kila apartment, jiko, sitting room, feni kila chumba na sitting, floo tiles, parking ndani ya fensi. Maji mpaka ndani. Kodi kwa mwezi ni Tshs...
  6. tungibwaga

    Hotuba ya Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali, 2014 / 2015

    uko sahihi sana sijui wanawaza nini katika hili
  7. tungibwaga

    Naombeni ushauri,namempenda binti mlokole

    Km kweli huyo dada ameokoka nakushauri usipoteze muda maana maisha ya kuokoka yana muongozo wake na taratibu zake ambazo sasa anazifuata ndo maana anakuvutia. Unawezza jitahidi kumpata but upande wa pili yaani yeye atakuwa ameasi ulokole wake ndipo atakuwa mtu wa kawaida kama wadada wengine...
  8. tungibwaga

    Mzee Amosi Mwambungu afariki dunia Mbeya Mbalizi

    Una akili sana ndugu
  9. tungibwaga

    Mzee Amosi Mwambungu afariki dunia Mbeya Mbalizi

    Hello Benjamini, mzee wako kafariki Mbeya jana please upatapo taarifa hii wasiliana na ndugu zako.
  10. tungibwaga

    Tembo aua Majangili wawili Mikumi

    Kinana pole na msiba
  11. tungibwaga

    St.joseph wahindi wapigana wao kwa wao

    St Joseph ni wezi sana kinatumia mgongo wa dini ya katoriki kuhujumu watanzania....they have to go back to India
  12. tungibwaga

    CISA vs ACCA

    Jamani naombeni ushauri Nina Bcom option Accounting,nataka kuongeza ufahamu kidogo nipe ishauri nisome nini kati ya CISA OR ACCA
  13. tungibwaga

    kwa wanandoa!

    KILA JAMBO UFANYALO FANYA KWA MAOMBI:flame:
  14. tungibwaga

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Ccm hao ndo wamefanya haya yote kuondoa image ya cdm kwa watz
  15. tungibwaga

    Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Ni vema jamaa afunguke Richmond ni nani na asiposema hili litamwangusha
  16. tungibwaga

    Lowassa nakuomba uachane na Siasa utakufa kwa shinikizo la dam maana nauona mwisho

    Your ideas are very true according to my thought.
  17. tungibwaga

    Naombeni ushauri wanajamvi

    U did a mistake kwa sababu ulitoka nje ya maagizo ya huyo mkeo kwa kuchukua dollars,tubu mvulana kwa kupiga magoti
Back
Top Bottom