Search results

  1. Sema Chilo

    Huku ni kuingilia mhimili mwingine wa dola

    Kitendo cha wakuu wa wilaya na maafisa elimu nchini kuendelea kuwasainisha walimu mahudhurio ni kuingilia mhimili wa dola, kwani mahakama imeshindwa kabisa kuzuia mgomo wa walimu na tunajua jambo lililo mahakamani halipaswi kuingiliwa. Sasa je hivi hawa maafisa wa serikali yetu hawajui sheria au...
  2. Sema Chilo

    Kwanini Walimu wasiunde chama kingine zaidi ya CWT?

    Kama tulivyotarajia chama cha walimu CWT kimesitisha mgomo wa walimu ambao ulikuwa uanze wiki ijayo, lakini kwa kustajabisha mgomo umesitishwa. Je nini hatima ya matatizo ya walimu? Je walimu hawana uwezo wa kukivunja hiki chama ambacho nahisi hakina tena maslahi kwa walimu japo kinakata 2% ya...
  3. Sema Chilo

    Kama hauipendi simba+ chadema basiiii tena!

    Usipende vitu vya presure jamani penda SIMBA na CDM utaishi kwa amani bila shida na kumbe MWIGULU NCH ni YANGA? kaja uwanjani na jezi zake za chama mhhhh simba oyeeeeee
  4. Sema Chilo

    Lini tutapata wapinzani wa kweli watutoe hapa tulipo?

    Inaumiza ccm kupandikiza wafuasi wengi huku upinzani na sisi tuaendelea kuwapokea bila kuwachunguza. Yaani wamekuja na kushika madaraka na kuwazuia wapinzani wa kweli wasiweze kushika madaraka, sasa wana jamii lini tutaweza kuwatambua hawa? kwani siku tukiwatoa tu basi UKOMBOZI utakuja but...
  5. Sema Chilo

    Chuo Kikuu cha Dodoma ni cha nani?

    Wana JF naomba mnijibu kwa anayejua, kwamba nani mmiliki haswa wa chuo cha dodoma? Je kuna uhusiano wa chuo cha Dodoma na uuzwaji wa TWIGA na wanyama wengine nchi za kiarabu?
  6. Sema Chilo

    Tumelinda kura Arumeru, Je uchaguzi wa 2015 tutaweza?

    Kwa ujumla ushindi wa Chadema haukuwa rahisi kwani wenzetu wana kila aina ya mbinu za wizi. Na tulikuwa tunaomba muda wa kupiga kura umalizike haraka, zaidi wakati wa kujumlisha hali pia ilikuwa ni tata mpaka usiku wa manane na hatimaye tukashinda. Kwa hali niliyoiona mimi Je tutaweza kulinda...
Back
Top Bottom