Kama hauipendi simba+ chadema basiiii tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama hauipendi simba+ chadema basiiii tena!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sema Chilo, May 6, 2012.

 1. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usipende vitu vya presure jamani penda SIMBA na CDM utaishi kwa amani bila shida na kumbe MWIGULU NCH ni YANGA? kaja uwanjani na jezi zake za chama mhhhh simba oyeeeeee
   
 2. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Mpe ushauri huo Freeman Mbowe, maana yeye ni Yanga damu! Sijui utafanyaje!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  usipende kuchanganya siasa na mpira ndugu yangu.
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jamani mimi ni CHADEMA, lakini pia mimi ni YANGA,lakini sina jinsi ntaipenda hivyohivyo si unajua mapenzi gharama?
   
 5. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nafikiri Mpira na Siasa ni vitu viwili tofauti...Mimi ni CDM ila kiushabiki ni Simba, sawa. Lakini ningependa kushauri kuwa kuna wana CDM ambao ni Yanga damu, hivyo tusiione Simba kuwa ni CHADEMA. Tutakwaza imani za wengine...wana JF wote ni wamoja na hata ukiona mtu anakukosoa usihofu, huo ndio upevu.
   
 6. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Simba imeshinda, basi tusiihusishe na CDM
   
 7. t

  tononeka Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwani wameshinda mangapi?
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni kweli mkuu hata mimi jamaa ananitonesha,kwani mi ni Chadema damudamu toka mfumo wa vyama vingi uanze lakini pia mi ni yanga damudamu toka udogo wangu na vyote nilijikuta navipenda kulingana na mapenzi ya familia na jamii iliyokua inanizunguka.sasa jamaa akichanganya mpira na siasa hahisi kuzirai
   
 9. b

  busara ya mzee Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda maneno yako ni kweli pasipo shaka..Mmm..lakini hiyo kijani,hakunaga,,,na jana nmc kamanda wa anga mbona alikuwa anatabasamu,nguo na kadi za kijani zikitupwa kwenye mapipa ya taka,...Mmmm misomo.....
   
 10. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  H, Mdee naye yanga, Slaa Simba!!
   
 11. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  .com generation!
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mimi nashabikia Yanga na Arsenal.....sawa....
  lakini huning'oi Chadema hata uje na fokolifti......
   
 13. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa nishafanya maamuzi magumu. Duh! Kumbe tuko wengi, sijui nirudi Yanga? #Kigeugeu
   
 14. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni makamanda kama nimewakwaza ok ilikuwa ni furaha tu, but tupo pamoja sana katika harakati za ukombozi wa nchi yetu.
  ok pamoja sana VUA GAMBA THEN VAA GWANDA
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wenye busara na bila ufisadi siku zote ni yanga...simba club ya waarabu ile...
   
 16. H

  Han'some JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  upo sayari ipi?
   
Loading...