Search results

  1. M

    Profesa huyo

  2. M

    Yah: Dekapoli school.

    Wakuu naomba msaada na naelewa hapa sio mahali pake. Kuna hiyo shule ya albino sifahamu iko wapi kuna rafiki yanguanataka kutoa msaada kwao. Aliona film inaitwa White Black Boy. Imemgusa anataka asaidie. Naomba namna ya kuwapata. Sio mtanzania. Natanguliza shukran. Mwenye informatio yoyote ani...
  3. M

    Yah: Abubakar Ibrahim Msemo

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wa mwenye taarifa za mtajwa hapo huu aniPM. Mara ya mwisho miaka ya 1991 Alikuwa akifanya kazi Tanzania Film Company. Natanguliza shukran.
  4. M

    Yah. Ndugu Damas P Nakei.

    Wapendwa, Heshima kwenu. Nina family friend anamuulizia mbunge wa zamani jimbo la Babati vijijini anaitwa Damas P Nakei. Mwenye kufahamu au kuwa na taarifa zake ani PM. Huyo family friend walikuwa wote shule Uingereza . Natanguliza shukran.
  5. M

    Jimbo la Mh Mathayo wapare wagawiwa mahindi.

    Nnasikitika kuona hii rushwa inavyotupeleka pabaya. Mimeongea na jamaa zangu malori ya mahindi yaliyopelekwa huko ni balaa. Vijiji vya makanya, Hedaru, Vudee, Mwembe mpaka huko milimani ni mahindi. Wanagawiwa Jumanne wiki ijayo Leo ilikuwa ni vikao. Source jamaa yangu aliyehudhuria mkutano...
  6. M

    Tanzania imefungwa 2-0 na Ivory Coast.

    Sorry tumefungwa na Ivort Coast 2-0. Source BBC Sports.
  7. M

    Je matumizi mabaya yaofisi kwa mawaziri wanaweza kufikishwa mahakamani?

    Wana JF naomba kuuliza. Hii miwaziri magamba iliyofuja fedha za wananchi na wanatakiwa waondoke kisheria wanaweza kufunguliwa mashtaka kwa uhujumu uchumi? Kama ni hivyo. Aomba tujipanga ili wote waende Keko pamoja na kurudisha hizo mali wa kwanza Ngeleja na Maige. Asanteni .
  8. M

    Jimbo la Mh Matayo (Same) na madini yanayopelekwa Kenya

    Wana JF naomba niwasilishe ombi kwa makamanda wasaidie kuchunguza mradi wa madini yanayotolewa Mbaga wilsya ya Same vie kijiji cha Mwembe kupelekwa Kenya. Kwa miaka mingi zaidi ya mitano kuna huo mradi lakini wananchi hawajafaidika na chochote kila leo milori inakuja kuchukua hayo madini...
  9. M

    Kila la heri CDM.

    Usiku mwema kwa wote na Arumeu Mashariki msisahau Kira yenu ni muhimu kwa hii nchi. Watu wote kapigieni Kira CDM. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzz power. LOL.
  10. M

    Binadamu hatukubali ukweli.

    Nimeona binadamu hatukubali ukweli nikitolea mfano wa Arumeu. Miaka yote CCM ilikuwa na mbunge Arumeru. Hakuwatimizia wananchi mahitaji Yao km ardhi nk. Sasa iweje Leo ataweza kuyatatua? Wananchi wa Arumeru fanyeni mabadiliko ya mbunge na mtapata mabadiliko ya maisha. Ardhi yenu itakuwa kwafaida...
Back
Top Bottom