Yah. Ndugu Damas P Nakei.

Yah. Ndugu Damas P Nakei.

mahoza

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
1,248
Reaction score
579
Wapendwa,
Heshima kwenu.
Nina family friend anamuulizia mbunge wa zamani jimbo la Babati vijijini anaitwa Damas P Nakei. Mwenye kufahamu au kuwa na taarifa zake ani PM. Huyo family friend walikuwa wote shule Uingereza .

Natanguliza shukran.
 
Kaulize ofisi za bunge

Nd Ngafu asante kwa ushauri lakini kwa muda huu sio mbunge. Tafadhali km akipata ujumbr huu awasiliane na alfredsmith@live.com.

Asanteni.
 
Mahoza, ofisi ya bunge ni rahisi kujua. DN ni mkandarasi alikuwa na ofisi Dodoma mjini

Ndugu ngafu bahati mbaya siko Dodoma niko nabeba box. Naomba km Unaweza nitumie company name au awasiliane na ndugu Alfred Smith kwa mail ni alfredsmith@live.com

Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom