Nnasikitika kuona hii rushwa inavyotupeleka pabaya.
Mimeongea na jamaa zangu malori ya mahindi yaliyopelekwa huko ni balaa. Vijiji vya makanya, Hedaru, Vudee, Mwembe mpaka huko milimani ni mahindi. Wanagawiwa Jumanne wiki ijayo Leo ilikuwa ni vikao.
Source jamaa yangu aliyehudhuria mkutano jioni hii. CCM bila rushwa haipiti