Search results

  1. S

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Kweli mkuu, wengine hata tigo wanakulana
  2. S

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Kuna clip nimeona jana wanatengeneza cow vagina
  3. S

    Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

    Kwenye pato la muungano Zanzibar inachangia % ngapi na Bara wanachangia % ngapi? jibu kwanza kabla ya kukimbilia kwenye porojo za wanasiasa. Zitto ni mchumi so nina uhakika anaujua ukweli ila anatafuta kiki tu
  4. S

    Niliyoyaona leo nilipokwenda kusambaza barua za internship

    Ndo tatizo la nchi kuwa na mfumo unaoandaa watu kuajiriwa badala ya kufanya kazi
  5. S

    SoC04 Maonyesho ya Kijeshi yajikite zaidi kwenye kuonyesha uvumbuzi wa silaha na vifaa vya kivita

    utagundua nini wakati silaha zote ni imported tumenunua kutoka kwa wazungu? sisi ni umahiri wa kuzitumia tuu
  6. S

    Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

    Wahudumu wa lodge asilimia kubwa wanaliwa kimasihara sana na wateja, hususan wale wanaolala zaidi ya siku moja. Kuna wale wababa wanaoenda kikazi sehemu analala siku 3 hadi wiki, usipokula umejiamulia tuu. Hapo wala hutongozi, vistori flani flani tu hivi mara umemuagiza kitu flani, mara...
  7. S

    Miaka ya kustaafu iongezwe

    Umezingua sana mwana. Mimi natamani kama sheria ingeruhusu nipewe changu mapema at 50 maana kuna fursa kibao naona zinanipita kwa sababu ya kubanwa na taratibu na sheria kibao za mwajiri sipati muda wa kufanya full utilisation of my potentials
  8. S

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Fungua code. Trick atakayotumia kumuaga mwamba, ndo kama alishawahi kuitumia kumuaga hivyo ajue kumbe analiwaga tuu sema jamaa hajamkamata
  9. S

    Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Hilo kundi la wawakilishi waondoe, hao kwa TZ siyo sehemu ya wananchi na hawapo kwa maslahi ya wananchi, japo hutumia wananchi kwa kuwahadaa kana kwamba wapo kwa ajili ya wananchi, ila ukweli hawapo kwa ajili ya wananchi. Kama mbunge anashinda ubunge kwa tamko la Rais na hakuna anayehoji hapo...
  10. S

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Mkuu sisi wanaume tunajuana, kudate mke wa mtu watu wanafanya sana, ila kuna vigezo na masharti vya kuzingatiwa. Wewe nimekushangaa sana hapo kwenye kwenda kulala kwake hadi unacheza na watoto wa mwanaume mwenzako hapo nimeshangaa sana. au ndo ile kusema mapenzi upofu
  11. S

    Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Shida mi CCM haitaki hiyo kitu Mkurugenzi akiwa mtumishi wa umma by credentials na asiwe mwanasiasa, matokeo ya uchaguzi yatachakachuliwaje?
  12. S

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kwani wakati unamchakata hujui kama ni mke wa mtu? ila wee una roho ngumu kama paka, hadi unaenda kulala kwake? hadi watoto wake unawaletea zawadi? Kwa taarifa yako Hao watoto ndo informer wazuri kwa baba yao akirudi toka safarini. Vaa kiatu cha huyo mwanaume mwenzako mkeo afanyiwe hivyo...
  13. S

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Hii nchi ngumu sana. Tukifika kiangazi tutaambiwa ukame maji yamepungua sana na bado tutakosa umeme. Zikinyesha mvua tutaambiwa mafuriko yamezidi. Naanza kumkubali Msukuma anavyotukana wasomi
  14. S

    Rafiki yangu ni Mwinjilisti WA KKKT anahitaji mchumba baadae awe make mwenye sofa zifuatazo Mtumishi WA Umma aliyezaliwa mwaka 1983-1988 antfute inbox

    Inasikitisha sana kama nchi tumefikia hatua hii. Nina wasiwasi na huo uinjilisti bila shaka ni uinjilisti uchwara
  15. S

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Wacha upigwe tu hadi akili zitakapokukaa vyema. Mabinti wamejaa mtaani unakosaje binti wa miaka kuanzia 27 hadi 30s. kuna mahali unafeli, wenzio tunalemewa tunashindwa kuwakwepesha wewe huwaoni, really?
  16. S

    Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Unampa mwalimu kishikwambi ili hali alipo hata umeme hakuna, mtandao hakuna. Labda hamjatembea nchi hii kuna sehemu ukienda mitandao ya simu kati ya voda, airtell, tigo na halotel, unapatikana mmoja tena kwa mbaaaaaali. tena utumie simu kiswaswadu, haya masmart phone hayashiki network.
Back
Top Bottom