Hivi BMW X6 ni ghalama sana mbona adimu sana haya magari mtaani

Hapo sijakuelewa vizuri mkuu

Ukipata muda fafanua zaidi

Gari nyingine ninayopenda ni Lexus saloon IS ila wakati napekua picha zake mchana huu nimedondokewa na nyoka kichwani (nilikua chini ya muembe) nimepata mawazo sana mpaka Sasa akili haijatulia
Mbona keleweka.

BMW (Bima) wana vutia kwenye body (angalia 3, 5 series na X zote) ila ikija issue ya maintenance ndio shida.

Apo kwenye Lexus iyo bonge la gari aisee. Sema bei ndio imechangamka.
 
And more less, more so, I'll rip your torso,I live the fast life, come through in a X-5 like WHOA!
 
Back
Top Bottom