kaka kwanza hongera sana kwa kuwa na milioni mbili. tunaomba kukuhakikishia kuwa huo ni mtaji tosha kwa kuanzia hasa katika small scale. kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha. karibu tukusaidie kuvuka hatua nyingine katika maisha. thanx
mkuu kwanza karibu sana mbono technologies. kilimo cha tanzania kina matatizo mengi mojawapo ikiwa ni "mambo ya kisera na mifumo" lakini pamoja na changamoto zilizopo bado tunaopportunities nyingi sana ambazo zinaweza kutufanya tuendelee.
hayo tuliyoyaeleza ni baadhi tu ya kazi ambazo...
kaka kwanza hongera sana kwa kuwa na milioni mbili. tunaomba kukuhakikishia kuwa huo ni mtaji tosha kwa kuanzia hasa katika small scale. kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha. karibu tukusaidie kuvuka hatua nyingine katika maisha. thanx
mkuu tunashukuru kwanza kwa kusoma na kuona umuhimu wa kukomment. Kampuni hii inawataalam wa kila idara kwenye maswala ya kilimo ikiwa ni pamoja na mifugo. karibu upate huduma ya hali ya juu.
Habari zenu wadau.Mwanzoni mwa mwaka huu nilianzisha uzi ulokuwa ukiongelea changamoto zinazotukabili wadau wa sekta ya kilimo (cha kisasa) na moja ya sababu nilizozieleza ilikuwa ni wataalamu wa kilimo wanaoweza kumshauri mkulima anaetaka kulima kibiashara kufikia ndoto zake. nilieleza pia kuwa...
mkuu biashara ya daladala labda uendeshe mwenyewe maana kama utampa mtu akuendeshee na kusimamia akuletee pesa jioni watauza matairi yako mapya watafunga chakavu, watakuibia vitu kwenye engine na kukufungia chakavu na kisha utaambiwa ukatengeneze na ukienda unauziwa vile walivyoiba. pia...
Katika hili sakata na mengine mengi yalokwishatokea ndani ya nchi hii kunamaswali mengi sana yanahitaji majibu.
Kama vitendo vya dhuluma dhidi ya wananchi vitaendelea wa kasi hii kwa kweli tanzania inaelekea kupozeza heshima iliyojijengea kwa miaka mingi ya kuwa kisima cha amani barani...
ila ahakikishe analima mahali ambapo pana uhakika wa maji ya kumwagilia. karne hii sio ya kulima kwa kuangalia angani (kusubiri mvua) atafilisika na kutafuta presha bure. pia afuate ushauri wa kitaalam juu ya namna ya kufanya hicho kilimo chake ili kuongeza tija kwa eneo badala ya kuwa na eneo...
wakuu nakubaliana na bwm. wapo wtz wachache ambao ni commited kwenye majukumu yao ya kila siku na kimsingi wamepiga hatua kubwa sana kimaendeleo bila kuwa mafisadi. lakini asilimia kubwa ya wtz hasa kizazi hiki cha dot com ni wavivu sana na wanapenda short cuts ( wavune wasipopanda) na iwe ofisi...
wakuu kwa mujibu wa taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG), asilimia 96 (96%) ya uvunaji wa mazao ya misitu unafanyika haramu kinyume cha sheria na taratibu na hivyo kutochangi kwenye pato la taifa. Ni asilimia 4 tu ya mazao ya misitu yanavunwa kihalali. Ikumbukwe kuwa kila mwaka...
Mkuu enteprenure ninamtandao wa wakulima wa uyoga ambao niliwapatia mafunzo mwaka jana na tayari wamekwishaanza uzalishaji. tafadhali naomba unilink na hao wanunuzi ili tuweze kufanya biashara. naomba unipm namba yako ya simu tafadhali0
mkuu nani wa juyaanzisha hayo mapinduzi kama sio cc vijana? mapinduzi ya fikra lazima yaanzie kwetu na hao wengine uliowataja watafuata baada ya kuanza kuona kwa vitendo. wala huna haja ya kuwachapa viboko.
nimetembea nchi nzima ya tanzania kasoro lindi na mtwara, nakuhakikishia tuna...
jamani wakuu pamoja na matatizo meeeeeengi ya kisera, kimfumo, utanaduni, namengine mengi tunayoyajua bado ukweli unabaki pale pale kuwa tanzania imejaa resources kibao katika kila eneo la nchi hii ambazo vijana tukiamua kufanya mapinduzi makubwa kwenye fikra zetu na kuamua kuzitumia tutatoka...
nashukuru mkuu kwa mchango wako. napenda kukuhakikishia kuwa bei zetu ni za kizalendo kabisa kwa ajili ya wakulima wadogo na wajasiriamali wa sekta ya kilimo. gharama hutofautiana kutegemeana na shamba lilipo (mkoa ulipo). tafadhali usisite kuwasiliana nasi kupitia namba hiyo. huduma zetu ni za...
Heshima kwenu wanajamvi
Tanzania tumekuwa na sera nyingi za kuendeleza kilimo cha mtanzania (mkulima mdogo mdogo) kwa miaka hamsini sasa. Lakini pamoja na sera nyingi na zenye mvuto masikioni tumeshindwa kufikia lengo kama nchi. Moja ya changamoto kubwa ambayo imekuwa ikisahaulika ni wataalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.