Search results

  1. Loading

    Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

    Km kiingozi mkubwa mtarajiwa anayeshikilia maisha ya mamilioni ya watu ni muhimu watu wake wakajua juu ya afya yake
  2. Loading

    Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

    Halafu angepumzika, wala tusingejua yote haya!
  3. Loading

    Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

    Mi naona hawa wapambe wake wanamtumia km sehemu ya ajira, otherwise wangemshauri apumzike, yaani wanamuangamiza huku anajiona....duh! Hataree
  4. Loading

    Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

    Mi naona siasa za kuigiza zinazidi shamiri, yaani watu wote wale walikuwa kwenye slow motion?
  5. Loading

    Hili Tangazo la Timu Lowassa linatudharau!

    Dah kweli kabisa leteni original, pia mbona sauti zao hazina slow motion?
  6. Loading

    Ninauza toyota verosa mil 11

    Mh=-O@_@
  7. Loading

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Kwani ndo nani huyu? Sijawahi kumsikia ni manamziki au msanii bongo movie
  8. Loading

    Mwanaume wangu yupo busy, nifanye nini?

    Anafanya kazi wapi?
  9. Loading

    Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

    Watazilipa akiingia madarakani, wala msije lalamika
  10. Loading

    Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

    Watz tunanjaa mno, tunadiriki kuhongwa 20,000/- na chakula kwa ajili ya kumuunga mkono fisadi kwa pesa zetu alizotuibia, kweli?
  11. Loading

    Kwa nini Burundi isijiunge na muungano wa Tanzania?

    Nahofia kuharibu jina TANZANIA, TANZABU duh ! Hataree...
  12. Loading

    Tunachimba visima bei nafuu sana

    Kumbe suala sio bei rahisi, ila nionavyo suala ni kuwa na uhakika wa upatikanaji wa maji
  13. Loading

    Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Mh ila kanalipa, hata ingekuwa wewe usingevumilia......
  14. Loading

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Ulikuwa ukitegemea kusindikiza hadi ndani ya ndege ndio uendelee kutoa maagizo ya kule aendako
  15. Loading

    Dar es Salaam City in Photos

    Mbona hamweki za mafuriko ?
  16. Loading

    Tetesi: Madereva kugoma tena kesho,nchi kutikisika

    Hapo siasa imekwishaingia, umaarufu utatuponza
  17. Loading

    Pata dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa.

    Nitakupigia halu ikiwa shwari
  18. Loading

    Pata dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa.

    Nashukuru, ngoja maji yspungue barabarani, au unasambaza mahala nilipo nikichukua dagaa wengi?
Back
Top Bottom