Search results

  1. Mwananchi wa Kawaida

    Taarifa za Matumizi ya fedha UDOMASA

    Huu mwingine ni upuuzi na uKAJUJUwa hali ya juu,hayo mambo yenu na chama chenu yanatuhusu nini humu??mmeshindwa kumalizana wenyewe huko unaleta ripoti huku then sisi tukusaidie nini??Halafu unaweka tu ripoti eti ukweli umeonekana,ukwei upi na kwa nani??kuna mtu amekulalamikia akisema kuna...
  2. Mwananchi wa Kawaida

    UDOM kuna hatari ya waalimu kugomea mitihani, UTAWALA unafanya nini!

    Kuna fununu kwamba waalimu wa COLLEGE YA HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCES wamepanga kugomea kusimamia mitihani yetu tunayoanza kesho kutokana na malimbikizo ya miaka mingi ya malipo yao yanayohusiana na usimamizi wa mitihani na mengineyo. Hivi UDOM kuna nini kila siku sisi tu?? Wiki iliyopita...
  3. Mwananchi wa Kawaida

    Ukomavu wa kisiasa unaotakiwa ni upi zaidi ya huu?????

    Mara nyingi baadhi viongozi na wanachama wa CCM wamekuwa wakijifanya kusema eti viongozi wa upinzani hawana ukomavu wa kisiasa kwa kutoa sababu za juu juu bila kutafakari maana yake.Baada ya Rais kikwete kusema suala la katiba linazungumzika wengi wao walitamani wapinzani waendelee kukataa ili...
  4. Mwananchi wa Kawaida

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    Hiyo kauli yako ni ya kinafiki kwani haiko straight na naamini ikitokea hivyo utajifanya kusema walikunukuu vibaya ili uendelee na ubunge wako. acha kutudanganya watu wazima wenye akili na elimu zetu
  5. Mwananchi wa Kawaida

    Hotuba ya Kikwete yamnyima fursa ya kuwa Mbunge wa Mtera WILLIAM JOHN MALECELA 2015!!

    Hivi ndugu Malecela elimu yako ni level gani??maana niejaribu kufuatilia post na comments zako na nashangaa ni mbunge gani anaweza kuleta hoja za mipasho na kubishana na watu kama muimba mipasho?? Jipange upya ili ujitunzie heshima yako na ya chama chako
  6. Mwananchi wa Kawaida

    Epiq Bongo Star Search (EBSS) sasa kuoneshwa na TBC1

    Siku hizi naona BSS inaonyeswa TBC na ukweli ni kwamba watazamaji wa TBC siku hizi ni wachache ukilinganisha na vituo vingine. Tena ni wale wenye milengo ya aina fulani isiyoshabikia mabadiliko kutokana na kuitetea serikali na kutokuonyesha taarifa zinazoipinga.Mi nilikuwa mtazamaji mzuri lakini...
  7. Mwananchi wa Kawaida

    Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    Naomba nikwambie wazi ndugu Kigwangala, wewe ni katika wabunge niliokuwa nawakubali sana nikiamini wana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo tofauti na wengine wa CCM lakini kwa jinsi ninavyokuona kwa sasa napata shaka na uwezo wako. Kuna vitu ambavyo naona unashabikia pamoja na wenzako ndani ya...
  8. Mwananchi wa Kawaida

    Msimamo wa Vilabu 13 vya Ligi Kuu Tanzania Bara kuhusu udhamini wa Azam TV

    Yeah!! Kwa Vilabu kujitambua na kutambua majukumu yao badala ya kupigana vijembe hapo sasa tunaanza kuwa na Ligi.Yanga naona kama wanataka tuendeshe liki kiswahiliswahili kwa sababu ya kuwanufaisha baadhi ya watu
  9. Mwananchi wa Kawaida

    Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

    Hongera ndugu kwa andiko ambalo hata kama halikidhi haja ya kila mmoja bt linatoa mwangaza kwa ambao hatukujua hayo.Anayedhani umepotosha alikuwa wapi kutuandikia yeye?? kama yupo aweke naye tusome
  10. Mwananchi wa Kawaida

    CHANNEL 10 NAO WANATUMIWA?? Habari ya bunge la leo wameikwepa kabisaaaa

    Ukweli siku hizi hawa Channel 10 siwaelewi kwani kuna baadhi habari naona huwa wanazielezea kwa ufupi sana hasa zinapokuwa kinyume na Chama fulani na nyingine wanaziruka kabisaaa.Kwa mfano habari ya bunge leo kuahirishwa hawakuiweka kabisa na wameishia kuongelea mambo mengine kabisa.Tuwaelewe...
  11. Mwananchi wa Kawaida

    Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    Waacheni waendelee kujifanya wanamjua mungu kuliko wakristo,nijuavyo mungu ni mteteza wa wanyonge na si mtetewa kama wanavyohangaika kana kwamba amewatuma
  12. Mwananchi wa Kawaida

    Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    Mi nilikuwa nakukubali kipindi fulani ila kwa sasa ulivyoingia kwenye siasa za maj taka sina hata Hamu na wewe,hivi mmeshindwa hata kuwa na aibu kwa mambo yanayohusu matatizo yetu wananchi na unatujia na sera ya mfuko wa vijana
  13. Mwananchi wa Kawaida

    Dodoma Traffic Police na Mbinu chafu za Rushwa Barabarani

    Katika Hali inayoonyesha kuzidi kukomaa kwa rushwa Tanzania na hasa ndani ya jeshi la polisi askari wa usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma wanaonyesha waziwazi kusuka mipango ya kula hela za madereva wanapowakamata na makosa babarani bila kuwafikisha vituoni. Tabia hii inaonekana zaidi kwa Polisi...
  14. Mwananchi wa Kawaida

    Aliyemtisha Lukuvi huyu hapa!!

    Ni mwanafunzi wa Masters ya Public Administration UDOM na sasa hivi yuko Str tv kipindi cha Tuongee asubuhi.Sasa sijui hii style ya kukurupuka na kumsingizia Lema inakuja vipi kama siyo kutishia uhuru wa watanzania kutoa maoni??Nadhani anatakiwa kuomba radhi kwa kukurupuka kwani kiongozi makini...
  15. Mwananchi wa Kawaida

    Serikali itunge sheria kuzuia mavazi pamoja na vitu vinavyoashiria udini katika taasisi na ofisi

    Kazini siyo kanisani wala msikitini wewe,mbona mkienda beach hamzivai??au na we ndo elimu za kugongea??
  16. Mwananchi wa Kawaida

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Namshangaa mtu anapoanza kufanya uchambuzi wa idadi ya waislamu na wakristo serikalini,hivi zinapotangazwa nafasi za kazi huwa wanasema dini gani waombe?Kama ni za uteuzi nani anateua?na anakuwa amepewa mamlaka na nani kuteua kama siyo na rais?Nafasi gani ni kubwa zaidi ya rais ambaye pia ni...
  17. Mwananchi wa Kawaida

    Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    Sijaona alichoandika Nape zaidi ya chorus kama za bongo flavour.Jibu hoja ndugu otherwise unatuzingua tu
  18. Mwananchi wa Kawaida

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Acheni ujinga nyie,wenzenu ccm wanakesha kutafuta njia za kuiharibu CMD na kujijenga nyie mna wasaidia kwa kuendekeza bifu za uroho wa madaraka.Mnatuboa watanzania tunaoamini ktk mabadiliko ya kweli
  19. Mwananchi wa Kawaida

    Nape soma maneno ya katibu wako kabla ya kuropoka.

    Acha kujibu kisiasa weweeeeee,Nyie wenyewe ni Oil chafu na kama mmekumbuka kuiacha kupokea mliyonayo ni nyingi zaidi na hamna hata ubavu wa kujitoa.Nyie ndo mnaotuangusha watanzania kwa kuficha uhalisia halafu mnajifanya mna uchungu na nchi kwa maneno.
  20. Mwananchi wa Kawaida

    Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    Ndugu wana jamvi nianze kwa kusema kwamba Zitto ni ktk watu ninaowakubali kwa umakini wao lakini kwa hili suala la hela zilizofichwa na mafisadi Uswis ananipa shaka na kunifanya nijiulize yafuatayo; Je! Ni kweli anawajua wahusika kama alivyosema?Kama yeye ni msema kweli,mpenda haki na...
Back
Top Bottom