Search results

  1. genuinecopy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa 4D8FAFE edit harafu ,weka hapa Kodi mpya ,lengo ni Moja,kumpigia kanjibai,
  2. genuinecopy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mmmhhh! Ilikuwa na odds ngapi? Maana wengine tunakomba kila kitu kinachotumwa humu[emoji1][emoji3]
  3. genuinecopy

    Eneo la Gh'ungumalwa(Hungumalwa) kwimba mkoa wa Mwanza

    Nikipata mdau wa hungumalwa ,anipe taarifa za kina itakuwa vizuri.
  4. genuinecopy

    Eneo la Gh'ungumalwa(Hungumalwa) kwimba mkoa wa Mwanza

    Uchawi na ushirikina ni Kila mahali,tu Hadi ndani ya majiji makuu kabisa,watu wanapuliza tu,kikubwa ni maombi tu.
  5. genuinecopy

    Eneo la Gh'ungumalwa(Hungumalwa) kwimba mkoa wa Mwanza

    Pakiwa padogo ndo vizuri,Ila si uhakika wa kupanuka siku za mbeleni upo? Au pamedumaa na hakipanuki tena? Vipi kilimo na ufungaji hapafai,..?
  6. genuinecopy

    Eneo la Gh'ungumalwa(Hungumalwa) kwimba mkoa wa Mwanza

    Habari wakuu, ninaomba mwenye kujua kwa kina taarifa za hiyo center inayoitwa Hungumalwa. Iko wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza. Je kuna fursa zipi hapo za kibiashara? Hasa kwenye biashara, kilimo na ufugaji? Je wasukuma kitabia wakoje? Hawana ubaguzi Kwa mtu ambaye sio wa kabila lao,maana hapo...
  7. genuinecopy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wachambuzi ,hakikisha mkeka wako una over 1.5 au over 0.5 ,hapo kanji atakuja apasuke siku Moja asiyoifahamu. Ndio options za kucheza hizo...at least unaweza kusema kanji kidogo tu apasuke. Options zingine ni kamari yenyewe haswa.[emoji23][emoji1787]
  8. genuinecopy

    Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

    Kwa mtaji wowote ulionao,ila huna wazo la biashara. Njoo na mtaji wako,mimi nitafanya biashara,na Kwa uzoefu wa biashara na fursa mbalimbali za ujasiriamali nilizonazo.Nina kuhakikishia nitakuwa nakupa faida ya 5% kila mwezi ya mtaji wako wowote utakaokuja nao. Mtaji kianzio ni million tatu na...
  9. genuinecopy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa hakuna cash out Kwa maana mechi ya 27 imeisha huku bado ya Barcelona iko live. Mechi ya 27 ingeisha harafu kukawa na gap la muda kuanza ile mechi ya Barcelona,hapo cash out wangekuletea. Angalia 9:45 pm mechi 27 ikaanza harafu ya Barcelona ikaanza Saa 10:00 pm.Hapo hakuna namna ilibidi...
  10. genuinecopy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unadhani anaweza kudanganya Kwa faida ya nani ? Ili apate nini? Mimi naona jamaa kweli katusua,maana kusema uwongo kwamba umekula wakati hujala haikuongezei chochote kwenye platform kama hizi,ukizingatia kwamba hatufahamiani hapa. Sijui anatafuta nini adanganye?!?! Sent from my RMX3491 using...
  11. genuinecopy

  12. genuinecopy

    Mpenzi wangu bado anawasiliana na mzazi mwenzie, nahisi kwangu yupo kwa muda tu, nifanyeje?

    Hivi kwanini watu wengine kuoa au kuolewa hadi watake ndoa? Ndoa hizihizi za kanisani na msikitini zinazotesa watu kila siku? Mbona wengine tumeoa tu bila ndoa ,na watoto tumepata na hakuna shida? Maisha sio haba. Au hao wazee wetu walikuwa wanafanya hizi ndoa za sifa? eti fulani kafanya lazima...
  13. genuinecopy

    Hofu inaturudisha nyuma wengi

    Huyo wa pili ,atashindwa kukulipa hela yako.1% ya 2.5 million, ni 25000 Kwa siku jambo ambalo ni ngumu sana. Bora ungempa ukasema hata arudishe 5% Kwa mwez,Kwa mwaka faida yako 1,500,000 ,jumlisha mtaji wako 2,500,000 utakuwa na jumla ya 4 millions. Na yeye angalau atakuwa kashajilipa kwenye huo...
  14. genuinecopy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mtaalamu zaidi yangu,edit hii train,ya betpawa ACCD7B6 ,tupate sure odds baada ya wiki,edit harafu uweke hapa,wadau tushare.
  15. genuinecopy

    Waliotengeza Siri ya Mtungi kwanini tusiwaombe watufundishe kutengeneza sinema?

    Hivi hao waliofanya Siri ya mtungi,..Kuna tamthilia zipi zingine wamefanya? Nataman kuona kazi zao zingine ,maana wanaonesha umahiri sana.
Back
Top Bottom