Eneo la Gh'ungumalwa(Hungumalwa) kwimba mkoa wa Mwanza

genuinecopy

Member
Jan 12, 2023
31
49
Habari wakuu, ninaomba mwenye kujua kwa kina taarifa za hiyo center inayoitwa Hungumalwa.
Iko wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza.

Je kuna fursa zipi hapo za kibiashara? Hasa kwenye biashara, kilimo na ufugaji? Je wasukuma kitabia wakoje? Hawana ubaguzi Kwa mtu ambaye sio wa kabila lao,maana hapo nimejaribu kufatilia nikaambiwa wasukuma ndo wengi hapo.

Uchangamfu wa center na ukuaji wa hilo eneo ukoje? Mwenye taarifa sahihi anisaidie hapa wakuu,nataka niende nikapambane huko.Hasa kwenye biashara ya mazao,kilimo,na ufungaji.

Lengo langu ni kutafuta center nzuri iliyochangamka na inayoendelea kupanuka na kukua. Acha hizi miji iliyokwisha kukua kama Geita, Kahama,nk. Nataka center ambazo ndo zinaanza kukua ili ikue nami nikiwepo

NB: Kama unaona eneo jingine nzuri center inayochamka na kukua kama mfano wa Hungumalwa pia nishirikishe hapa.

Asanteni sana Kwa ushauri wenu.
 
nasikia pako vizuri maana mkurugenzi wa hapo ni my sister na anapambana kwelikweli na ni mtu poa sana .Nazani umefanya tafiti ya kibiashara kwanza
 
Wasukuma wwzuri ukiwa fukara,ukitobia wanakuchukia.
Jiandae kwa uchawi na ushirikina
 
Kuna kiwango kikubwa sana cha Ngono zembe na UKIMWI umetapakaa sana hapo, kuwa makini.
 
Habari wakuu, ninaomba mwenye kujua kwa kina taarifa za hiyo center inayoitwa Hungumalwa.
Iko wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza.

Je kuna fursa zipi hapo za kibiashara? Hasa kwenye biashara, kilimo na ufugaji? Je wasukuma kitabia wakoje? Hawana ubaguzi Kwa mtu ambaye sio wa kabila lao,maana hapo nimejaribu kufatilia nikaambiwa wasukuma ndo wengi hapo.

Uchangamfu wa center na ukuaji wa hilo eneo ukoje? Mwenye taarifa sahihi anisaidie hapa wakuu,nataka niende nikapambane huko.Hasa kwenye biashara ya mazao,kilimo,na ufungaji.

Lengo langu ni kutafuta center nzuri iliyochangamka na inayoendelea kupanuka na kukua. Acha hizi miji iliyokwisha kukua kama Geita, Kahama,nk. Nataka center ambazo ndo zinaanza kukua ili ikue nami nikiwepo

NB: Kama unaona eneo jingine nzuri center inayochamka na kukua kama mfano wa Hungumalwa pia nishirikishe hapa.

Asanteni sana Kwa ushauri wenu.
Ni kijiji kipo main road,
Kilimo/biashara ya dengu na choroko hapa ndo penyewe..
Kuna mnada wa mbuzi na kondoo bei chew kabisa,
Dhahabu-machimbo ya mwamashimba ,shikalo NK.siyo mbali na hapo...
 
Asante Kwa taarifa hizi mkuu.
 
Back
Top Bottom