Mpenzi wangu bado anawasiliana na mzazi mwenzie, nahisi kwangu yupo kwa muda tu, nifanyeje?

MREJESHO..

nakiri ushauri mlionipa ulinifungua macho zaidi na ukanipa nguvu ya kuchukua hatua. Japo nikiri tu kuwa kamoyo kanauma kwa mbaliiiiii ila nitazoe najua ni mazoea tu.

Siku nimemkalisha chini nakuyajadili haya mambo kwa uwazi, nikamweleza kuwa tumeishi kwa amani muda wote huu, nimeona mwenendo wake kuwa bado moyo wake unampenda x wake, so mi nimeamua kujitoa rasmi maana hata hatukuwahi kuwekeana ahadi popote.

hakutoa jibu la moja kwa moja ingawa alikuwa akilalamika kichichini ila mi sikuwa najali tena.

akafungasha vitu vyake vizuriiiiii, nguo zake na vingine vipo kwenye tayari kubebwa tu na kuhamishwa.
Nikajua sasa atahamia kwa ndugu yake ambaye yupo hapa hapa.

Ghafla naambiwa kuwa naenda kusalimia nyumbani, nikirudi nitahamisha vitu vyangu, tatizo mpaka siku anaondoka alfajiri yake tuliagana kwa mchezo mtakatifu.

Nahisi kama huu ni mchezo, maana akitoka huko nitakuwa nishammisi, sijui ndo mtego ili akirudi nijikute nimeendelea tena

Sijui ndo kaenda sasa kuniweka sawa huko, tahadhari nayo ni muhimu.

Hapa nafikiri nimpigie simu anielekeze kwa ndugu yake nipeleke mizigo yake, nimwambie nataka kusafiri. Ili akirudi asifikie huku kuepuka vishawishi
 
Mchezo mtakatifu sasa subiri mimba takatifu ya kusingiziwa.

U re still a learner.
 
Wasalaam ndugu zangu.....

Mimi ni mwenzenu wa humu humu, yamenikuta yakanishinda ndo maana nimekuja kupasukia humu angalau nipate kupona psychology.

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, huyu nampenda sana, tangu tukiwa shule. Bahati mbaya nilipata fursa ya kuwa naye akiwa ameshazalishwa.

Nikaona si mbaya sana maana bado ni yeye tu.

Huyu dada sasa nakaa naye yapata miezi 9, kama mtu na mpenzi wake, ila naona mawasiliano na baba wa mtoto ameshindwa kuacha na pia bado amemsave hubby. Mimi napata kila kitu lakini naona kama vile yupo kwa muda tu, nahisi ni kama mtu anayeondoka hivi. Kuna wakati nahisi hata saving inakuwa hamna naona yote haya kama vile anayafanya akijua ye si mkaaji sana. Nimejaribu kukaa naye mara kwa mara imekuwa ngumu sana kupata msimamo wake.

nahisi huwa anatoa mimba zangu, maana najitahidi sana hata sioni matokeo. Nimefika pahala naona kama napoteza muda wangu.

Sitaki nigombane naye hata kidogo, hata ubavu huo sina. Nikimwangalia tu nafsi yangu inafurahi tu. Kugombana naye labda nimtumie message wakati nipo naye hapo hapo, mimi siyo aina ya wale mabwege ila hapa yamenifika.

Wale wenye diplomasia ya juu, naombeni mnisaidie ni kwa namna gani nimconfirm huyu mtu kuwa wangu ama nimwondoe tu karibu yangu kama siyo wa kunifaa for future.

Ushauri na mawazo yenu ni ya muhimu sana.

Umri wangu unagonga 30 sasa. Zingatia hili wakati wa kushauri
Pole sana mkuu , vipi mrejesho
Kwa sasa umaumri wa miaka 37.
Tunaomba mrejesho kaka hali ikoje huko
 
Miaka 37, Nina ndoa ya mke mmoja watoto wawili.

Huyu ex alirudi kwa baba mtoto wake, wakafunga ndoa ya kanisani kabisa, naye ana mtoto wa pili naye.

At some point 2020 ilikosa kosa kupashaa kiporo lakini nili avoid sana hiko kitu, ilitokea tukawa mikoa ya karibu, afu yeye yupo kikazi tu pale mumewe hayupo.

Siyo kwamba sikutaka ila niliogopa invoices mana namvyomjua hakuwa na lolote zaidi ya kunifanya niwe namsogeza.
 
Mkuu sikupi pole maumivu Yako ni yakujitakia.. hivi hata hujishtukii. Bikra uwakose Bado Tena ukaoe ambaye ameshazalishwa!!!

Kutolewa bikra ni agano la umwagaji damu kiroho, na kushika mimba pia ni agano la kuunganisha damu. Kwa hiyo jikaze uachane naye. Kifupi huyo mzazi mwenzie tayari ni mumewe kwa ulimwengu wa roho.

walishaunganisha damu wana Bond nzito. Nikusihiii usitafute naye mtoto huyo mtoto atateseka. Muache aone thamani yako unavyomlea unamsaidia mumewe Majukumu.
 
Miaka 37, Nina ndoa ya mke mmoja watoto wawili.

Huyu ex alirudi kwa baba mtoto wake, wakafunga ndoa ya kanisani kabisa, naye ana mtoto wa pili naye.

At some point 2020 ilikosa kosa kupashaa kiporo lakini nili avoid sana hiko kitu, ilitokea tukawa mikoa ya karibu, afu yeye yupo kikazi tu pale mumewe hayupo.

Siyo kwamba sikutaka ila niliogopa invoices mana namvyomjua hakuwa na lolote zaidi ya kunifanya niwe namsogeza.
Exactly
 
Mkuu upo mkoa gani huo hauna wanawake njoo kariakoo ujiokotee wengi tu aisee... Mambo gani haya mnafanya wakuu, hubby wake yupo anasubiri wamalize kukuchuna wakalee mtoto wao... Acha ukenge wewe
 
hivi kwanini watu wanaishi bila ndoa eti?
au majaribio? na sisi tufanye majaribio nini bachelor mwenzangu
inaitwa mguu pande , mguu ndani
Hivi kwanini watu wengine kuoa au kuolewa hadi watake ndoa? Ndoa hizihizi za kanisani na msikitini zinazotesa watu kila siku?
Mbona wengine tumeoa tu bila ndoa ,na watoto tumepata na hakuna shida? Maisha sio haba.
Au hao wazee wetu walikuwa wanafanya hizi ndoa za sifa? eti fulani kafanya lazima na wewe ufanye?
Kuoa au kuolewa ni makubaliano ya wawili,ila watu wengi wanafanya kwa maonyesho, mwisho wa siku wanabaki kwenye kifungo na mateso.
Oa au olewa kwa makubaliano yenu wawili.
Eti dini inasema? Waliotuletea dini leo wanalazimisha ushoga.
Endelea kuwafateni hao.
 
Wasalaam ndugu zangu.....

Mimi ni mwenzenu wa humu humu, yamenikuta yakanishinda ndo maana nimekuja kupasukia humu angalau nipate kupona psychology.

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, huyu nampenda sana, tangu tukiwa shule. Bahati mbaya nilipata fursa ya kuwa naye akiwa ameshazalishwa.

Nikaona si mbaya sana maana bado ni yeye tu.

Huyu dada sasa nakaa naye yapata miezi 9, kama mtu na mpenzi wake, ila naona mawasiliano na baba wa mtoto ameshindwa kuacha na pia bado amemsave hubby. Mimi napata kila kitu lakini naona kama vile yupo kwa muda tu, nahisi ni kama mtu anayeondoka hivi. Kuna wakati nahisi hata saving inakuwa hamna naona yote haya kama vile anayafanya akijua ye si mkaaji sana. Nimejaribu kukaa naye mara kwa mara imekuwa ngumu sana kupata msimamo wake.

nahisi huwa anatoa mimba zangu, maana najitahidi sana hata sioni matokeo. Nimefika pahala naona kama napoteza muda wangu.

Sitaki nigombane naye hata kidogo, hata ubavu huo sina. Nikimwangalia tu nafsi yangu inafurahi tu. Kugombana naye labda nimtumie message wakati nipo naye hapo hapo, mimi siyo aina ya wale mabwege ila hapa yamenifika.

Wale wenye diplomasia ya juu, naombeni mnisaidie ni kwa namna gani nimconfirm huyu mtu kuwa wangu ama nimwondoe tu karibu yangu kama siyo wa kunifaa for future.

Ushauri na mawazo yenu ni ya muhimu sana.

Umri wangu unagonga 30 sasa. Zingatia hili wakati wa kushauri
Limbwata Hilo shituka , unakaaje na hubby wa mtu ,

Angalia usije kukumbuka shuka asubuh
 
Mrejesho bro
 
Back
Top Bottom