Kuna tetesi kuwa menegiment yote ya Stanbic Bank Tanzania imefukuzwa kazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo Wizi uliotukuka..
Mwenye habari kamili tafadhali atujulishe
***
AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA....( Mithali 6: 32-33)
Wanaume wengi hawana akili kabisa najua hata hapa wanasoma hii coment lakini hawaelewi....hii ndo sababu ya msingi.
( kwa wasomaji wa bibilia wanaujua sana huu mstari... sijui kama msaafu na wenyewe una hii reference)
Hao wanaobeba hela nyingi mikononi siku hizi wanatoka wapi..
Benki ziko kila kona..
una hela nyingi contract security service za kubeba hela.. once umewakabidhi risk inakuwa kwao..hata zikiibiwa getini kwako watakulipa.
watu tubadilike tuache kuahangaika na cash.
Kutuma TISS ni 2 hrs hela...
Hii nimekutana nayo leo kwenye phone bible yangu.
Mithali 6:32-33
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
***************
Najaribu kufikiria tu ni wanaume wangapi humu jamii...
Pole nilipotea kidogo.
2H: Gari inakuwa kwenye hali yake kawaida. maanake ni kuwa iko kwenye 2 wheels and you can go at high speed.
inakuwa haijaengage fourwheel.
Hii option inapatikana sana kwenye magari ya manual.
Sina uzoefu mkubwa barabarani ila nishaendesha safari ndefu kama Dar- Arusha km 650 mara nyingi
Sababu kubwa za ajali nilizoona ni hizi hapa:
1. Watu kudhani magari yao yana nguvu sana na kutaka kuovateki kila gari analoliona mblele yake
2. Kuovateki kwenye kona na kwenye milima
3. Magari...
Jamii Forum Iko juuu..
Kujibu hapo juu.
Hiki kirungu unachozungumzia H4 na L4 ni kwa ajili ya four wheel drive.
H4 ni pale ambapo unatumia four wheel but at a higher speed. kwa hiyo inaenda na D
L4 ni kw speed moderate kila gari ina specification za speed limit unapokuwa kwenye four wheel.
L4...
Hii nimekutana nayo mitaa ya kinondoni asubuhi ya leo.
Gari hili inaonekana registartiona namba yake halali imefunikwa kwa kubandika hii juu yake.
Kwenye kii inasomeka namba T925AGP
Nimejiuliza yafuatayo sijapata jibu.
1. Je jamaa alitoka kufanya tukio usiku akasahau kuzitoa?
2. Ama ndo...
Dos and Donts1.Acha accelaration za haraka haraka..
2.Inspect na usafishe Oxygen sensors, MAF sensors
3.Badislisha air cleaner kila unapofanya service.. kwa mazingira ya wengi wetu ( ukiacha wa masaki) kuipuliza na upepo haitoshi.. cant get it clean
4.Usioshe na Sabuni kali za detergent...
Hakikisha una salio kwenye simu yako kabla ya kufanya sim banking ya bank yoyote ile.
Standard SMS/ or call rates apply so kama hauna credit kwenye simu lazima upate ujumbe huo?
Wewe unadhani kampuni ya simu wanapataje hela kama sio kukucharge for that connection??
watu msiwe mnaleta habari hapa kabla ya kuzisoma vizuri.
waliouawa sio kwenye tukio la uchaguzi.. it is a different storry..
Pale Mombasa kuna kikundi kinasadikiwa ni cha kiislam.. chenye kuwa karibu na vuguvugu la Muslim Brotherhood ambao wanataka kujitenga na Kenya.. wanataka Mombas iwe...
Acheni Upumbavu... Huyu MUNGU mwenyewe hana dini..
Hizi dini zote zilikuja kwa Meli na hao majizi whether yalikuwa ya kiarabu ama kizungu i dont care..
hao wachinjaji wenyewe kule machinjioni wengi ni wapagani na wana majina ya kidini basi tu... hawajua hata dua/sala inafanykaje...
we kama...
I just Love this..
Mimi nimeanza kubeba chakula last Month...Najuuta kuchelewa ... sijui nilikuwa wapi...
manake nakula maakuli ya wife saaafi na tunasave hela mingi sana...
wewe usietaka kubeba kama huna wa kukupikia na hujui kupika utajiju...
JINGA Wewe..
Chief mkwawa,katika surfing yako ya online umewahi kukutana na web service inayo convert youtube videos to a mobile friendly version kama 3GP au MP4 kwa hizi small devices na kumwezesha mtu kudownload i think kwa devices kama hizi ndio itakuwa solution nzuri
Kwa wanaotumia Android kuna...
wewe huna akili.. au zimekupungukia....
kwani Mkeo ulilazimishwa kumuoa...
fanya hiviii... two things involved...
1. Kama wewe ni Muislam mpe talaka tatu asepe...
2. Kama ni Mkristo.... unless umemfumania live...ndoa ni mpaka kifo kiwatenganishe.. So KILL HER and marry your housegirl...
if that...
Ni sawa kabisa kusema...
Hizi ni statistics..
na kwa mujibu wa Professional Ethics- Pale ambapo data unatoa taarifa kwa manufaa ya public... inaruhusiwa..
we call it Duty to Public..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.