Search results

  1. P

    Kwanini watu wanaezeka paa linaenda juu hadi nyumba inakuwa kama piramidi?

    Hii tabia ukienda Arusha ndio utacheka hayo mapaa... Chuga wanafanya sana ujenzi wa hivyo. Personally naonaga ni kituko
  2. P

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Kajenga kwa free budget huyu. Mimi yangu ni limited. Nyumba ya kwanza, sihitaji mbwembwe. Najenga kupata experience kwanza. Kama pilot project kisha nijenge nyumba ya kustaafia. Finishing yangu katika hii ya kwanza nitafanya kawaida, ila siweki kitu chochote mchina. Tiles Spanish, Vifaa jikoni...
  3. P

    Nahitaji plot ya kununua Moshoni - Arusha

    Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa. Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
  4. P

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Nashukuru..naona kuna uhalisia hapa. Budget yangu mpaka kupauwa ni TZS 24ML. Plan yangu ni kwamba by the time napauwa nitakua na 10ml ambayo nitaanza nayo finishing nianze kuingia... Mengine nitamalizia nikiwa ndani
  5. P

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Habari zenu, Naomba kujuzwa rough estimate za kujenga nyumba ya maelezo hayo hapo chini; 1. Ya kisasa kidogo 2. Size: Plot ya 18x25 3. Eneo: Moshono, Arusha (kwa Laizer) Hitaji:👇 1 Master Bedroom 2 Bedrooms ( Zote 2 Self Contained) Sitting Room Open Kitchen + Store Dinning Public Bathroom +...
Back
Top Bottom