Search results

  1. Vifaranga200

    Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

    Mwanamke mmoja mke wa mtu alinipa Siri. MUMEWE. LKN baadae alijitudi na wanaishi japo mumewe jogoo habweki
  2. Vifaranga200

    Kuanzia leo sitaki kuona ujumbe wako wala simu yako kwenye simu yangu

    Asante sana. Nina stress za hatari mkuu.japo Najitahid kuzincontrol lkn naona Kwa kweli MTU mwenye stress jamani anastahili kuonewa huruma na asaidiwe. Mimi Iko hivi... sehemu ya kazi ilitokea mabadiliko flan. Binafsi yameniathiri....na napambana kukubaliana na Hali.... Wanawake wangu...
  3. Vifaranga200

    Kuanzia leo sitaki kuona ujumbe wako wala simu yako kwenye simu yangu

    Jbu mswali Yangu Ili tunzie hapo. 1. Je tangia mumenza uhusiano. Uli mcheat mara ngapi. 2. Sema Siri ya mahusiano ambayo hukuwahi kumwambia. Jarib kukumbuka. 3. Una shughul gani ya kukuingizia kipato, au kama unamtegemea yeye sema
  4. Vifaranga200

    Ukweli ni kwamba Bashiru kakumbuka Ikulu

    Kwani ametoa kauli gani
  5. Vifaranga200

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bunle Burnley Mkuu, come on .... Burnley ni kama duka lililo DSM na man UTD ni duka lililo Dubai.... Nani akiwekeza atarudisha haraka zaidi??
  6. Vifaranga200

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Glazers kuweka timu sokoni
  7. Vifaranga200

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Kama wanasema ni kitabu Chao wakifwate , sio kukitoahoa. Kamwe hawawez kubadili maandiko ya quran
  8. Vifaranga200

    Napitia kwenye hali ngumu ila naamini ndiyo nazidi kukomaa kama kijana

    Mimi ni MTU mzima kijana. Lakini nimekuwa MTU mzima wa hovyo kabisa. Haiwezekani ninakunywa sh 15,000 Kwa siku. Mwezi ni kama Tsh 500,000 kasoro. Mwaka je? Baada ya kigombana na mwenye bar nimeamua kuachana na bar yake na ninaanza kujifunza kuacha. Nimekaa nikatafakari, kama namchangia Tsh...
  9. Vifaranga200

    Sisi Skauti wa kandada Kombe la Dunia linatuhusu

    Ni timu chache Sana Afrika zinaweza kufanya hivyo. Mifano ya tp mazembe, timu zenye source kubwa ya pesa. Hata hivyo inawez fika Muda zinashindwa pia. Vilevile wachezaji wanaangalia timu ipi wanahitajika na yenye fedha na Jina kuu ulimwenguni. Afrika in the case. Simba na Yanga zinauwezo ila tu...
  10. Vifaranga200

    Sisi Skauti wa kandada Kombe la Dunia linatuhusu

    Je, ni kazi gani ninazoweza kufanya kama skauti aliyehitimu? Ukiwa na sifa katika utambulisho wa talanta, unaweza kuwa skauti katika ngazi mwanzo kabisa kama mpenz wa soka, nusu-mtaalamu au kitaaluma kulingana na sifa zako. Kwa sifa za juu, inawezekana pia kuwa skauti mkuu au mkurugenzi wa...
  11. Vifaranga200

    Huko Chelsea kinanuka Muda huu

    Yaani ni Moto. Ama zake ama zangu. Kocha analiwa kichwa. Huyu ndg potter aliambiwa amchukue kristiano anakadai hayupo kwenye mipango.. Soon Chelsea watapokea kijiti Cha man utd. Migogoro na wamiliki
  12. Vifaranga200

    POPOTE ULIPO.

    Huyu
Back
Top Bottom