Search results

  1. G

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    Nimeongea na wenyeji wanasema ukitanguliza kama 1mil kw kuanza si mbaya.Nyingine utajazia mkopo ukitoka.Mwanzoni ada ni ndefu kidogo.
  2. G

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    Registration ni tarehe 8 oktoba.unalipa na ada kabisa.Chuo kinafunguliwa tarehe15 oktoba
  3. G

    International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    Fomu za kujiunga zinapatikana pale chuoni kwa elfu 30.unajaza km mtu anayeomba admi. Kuna kuambatanisha vyeti mpaka kupigs x-ray ya kifua.Chuo kinafungukiwa mwezi wa kumi mwanzoni.
  4. G

    Nakelwa na ujenzi huu holela wa frame za maduka kwenye barabara kuu na maeneo ya makazi

    Kweli hili ni tatizo kubwa sana.Hata huku kigamboni mji mpya mfano Kibada kulikopimwa viwanja kila kukicha ni matangazo ya kubadili matumizi ya viwanja na kutoka makazi na kuwa biashara.Inashangaza sana mtu anabadilishiwa na anajenga fremu!tunarudi kule kule sasa...hapa m$akazi pale baa msikiti...
  5. G

    Hivi ni kweli laptop za apple haziathiriwi na virusi?

    Tatizo litakuwa ni flash yako.back-up na uformat flash yako. Huwa Mac haina matatizo km hayo.
  6. G

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Wewe ni kicheche labda hujajigundua!
  7. G

    Padri Hauawi, Hata Sheikh Pia...!

    To Kill and To Die In The Name of Allah The following are news items quoted from newspapers in the last few years. October 19, 1994 " A powerful bomb, apparently placed by Islamic militants opposed to the Arab-Israeli peace negotiations, blew up a crowded bus during the morning rush...
  8. G

    Heavy accent is a big turn off kwa wale wenye ndoto Za kuolewa na kuoa wazungu

    Sidhani km ni kweli!Kwa wamarekani mtu akiwa na accent kwenye mahusiano wanasema ni sexy!nilikuwa na pendwa kwa hilo.Ukipiga simu redioni watu wanafurahi sn hasa wanawake.Ila ni kweli sehemu nyingine za kijamii ni' what' na 'I don't understand your french'.Ni vizuri kuiondoa km unaweza mana...
  9. G

    Life after Death: What happens after death?

    Ninefurahi kuona mada hii hapa JF,inaonyesha jinsi gani watanzania au waafrika tunavyoanza kukomboka kifikra na kuwa na mawazo huru.Wazee wetu enzi zao huwezi kujadili mambo haya na utaambiwa umekufuru.Sasa yanazungumzwa hadharani na yanapingwa! Mi mtazamo wangu ni kwamba hakuna maisha baada ya...
  10. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Tumesema hizi ni point kuanzia 2(hi-score),1(afadhaliy na 0(mbaya)Pointi hizi anapata katika vigezo vyetu vile vitano.Ina mana ss point ni kati ya 0(kafa) mpaka 10.Pointi hizi hutolewa baada ya tu mtoto kutoka,halafu baada ya dk 5 na kama ana hali mbaya hata baada ya dk 10. Mfano...
  11. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Appearance, Pulse, Grimace, Activity, and Respiration. Five factors are used to evaluate the baby's condition and each factor is scored on a scale of 0 to 2, with 2 being the best score: 1. appearance (skin coloration) 2. pulse (heart rate) 3. grimace response (medically known as...
  12. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    There are all kinds of theories, but no one knows for 100% certaintly. Popular theories are things like the trauma of being pushed out, the sensation of having to inflate their lungs with air, or the change in temperature from 98.6 to being thrust into a cold hospital environment. Babies...
  13. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Nimekusoma mkuu.Ukitibu mgonjwa hapa ni kinyume na ethics za matibabu na nna shaka na utaalam wako.Kanuni zinasema hivyo...mgonjwa anatibiwa kwny forum?ingekuwa hivyo watu wangekuwa wanapiga simu tu hospitali kaka.Hapa ni ushauri tu.mfano akipewa dawa ikareact unafanyaje?au akifariki kutakuwa na...
  14. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Nimekusoma mkuu.Ukitibu mgonjwa hapa ni kinyume na ethics za matibabu na nna shaka na utaalam wako.Kanuni zinasema hivyo...mgonjwa anatibiwa kwny forum?ingekuwa hivyo watu wangekuwa wanapiga simu tu hospitali kaka.Hapa ni ushauri tu.mfano akipewa dawa ikareact unafanyaje?au akifariki kutakuwa na...
  15. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Kwa maelezo zaidi naomba usome kuhusu SPASTIC CELEBRAL PALSY www.stlouischildrens.org/our-services/center-cerebral-palsy-spasticity/about-cerebral-palsy-spasticity
  16. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Mkuu mbona umerudia nlichoandika mimi?umesoma vizuri kweli?hatuko hapa kutibu ila kutoa mwangaza kuhusu tatizo.huyu jamaa yy si mwenye mtoto na maswali ya ndani km hayo si rahisi kujibu kwa haraka.Hata mhusika mwenyewe labda mganga au muuguzi alimuhudumia.Ukiulizwa swali jaribu kuingia kwa...
  17. G

    Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

    Pole sn kwa wazazi wa mtoto huyo.Kwa uelewa wangu mdogo mtoto mara baada ya kuzaliwa anatakiwa alie.Huku kulia kunatokana na baridi anayoikuta huku nje ukilinganisha na ndani alikokuwa.Kulia huku kuna faida yake kibailojia.Kuna presha ambayo utengenezwa na tundu kwenye ukuta unaotenganisha...
Back
Top Bottom