Search results

  1. M

    Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

    Simba ni wabovu LAKINI walimtikisha Alhal kuliko TP Mazembe
  2. M

    Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

    Madam FaizaFoxy heshima kwako. Napenda kujua kwanini wasiweke Automatic Control ambayo itaruhusu maji kutoka nje kidogo kidogo kila ujazo ufikapo kiasi fulani wakati maji yakiendelea kuingia? Mimi sio mjuzi wa hayo Mambo ila nadhani automation ingefanywa kwenye mifumo ya Hilo bwana &...
  3. M

    Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

    Mkuu Ritz heshima kwako. Nimeona bandiko lako na hoja ulizoziwasilisha. Naomba nikuhakikishie kwamba hilo ulilolitabiri ni vigumu kutokea kwavile maandiko Matakatifu yanathibitisha hilo. Mkuu Ritz rejea mission ile miaka ya sabini kipindi cha aliyekuwa Rais wa Misri Gamal Abdel Nasser...
  4. M

    Je, wajua Robo Fainali ya CAFCL timu zote ni mabingwa kasoro Simba?

    Mkuu Labani og Salam kwako. Mimi sio mtabiri wala sitaki hiyo fani LABDA Mungu anifanye nabii wake hata hivyo kuna wazo limenijia kama ifuatavyo- 1. Mojawapo timu zilizocheza ijumaa au jumamosi ata/zitaingia Fainali 2. Ikiwa mtindo wa mechi za fainali( CAF champion Ligue) zitakuwa za kucheza...
  5. M

    Madawa ya kulevya na uongozi wetu

    Hii mada ilikimbiwa na wana JF wote kwanini? Nawasilisha Ahsante
  6. M

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Mkuu Mayor Quimby salam kwako. Yamkini mkuu unajua mengi, naomba ikikupendeza utueleze udhaifu wa hoja alizowasilisha Mkuu fazili na pia udhaifu wa Uongozi wa Mh Rais Samia Suluhu Hassani kwa mtizamo wa Ki-Science kama ulivyosema hapo juu. Ubarikiwe Ahsante
  7. M

    FT: Tabora United 0 - 0 Azam FC | NBC Premiar Leaguer | A.H. Mwinyi Stadium | 19/02/2023

    https://www.facebook.com/azamtvsports/videos/940028931088630
  8. M

    Freeman Mbowe awashukuru watu wa Mwanza kwa kushiriki Maandamano kwa Wingi

    Habari mkuu Erythrocyte . Sasa huu ujumbe Mbowe kawaandikia watu wa Mwanza? Sidhani kabisa kama walengwa ni wasukuma na sehemu kubwa ya wakazi wa mwanza. Pole sana
  9. M

    Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

    Mkuu Allen Kilewella salam kwako. Tatizo kubwa la waafrika ni kufikiria tu jinsi ya kuibia nchi na sio kuiendeleza nchi. Hebu angalia hapa JF mizizamo ya wengi kuhusu maana ya kazi nzuri. Wako wapi akina Mandela, Nkrumah, Tolibati, Lumumba wa leo hapa Afrika. Ahsante
  10. M

    Rais Samia kuongoza maelfu ya Watanzania kumpumzisha Edward Lowassa katika nyumba yake ya milele

    Mkuu Statistics salam kwako. Naomba unikumbushe huyu Kamanda Kaguti alipotolewa ukuu wa mkoa wa mtwara alipelekwa wapi? Ahsante
  11. M

    Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    5.Edward Moringe Sokoine (1983–1984) 6. Salim Ahmed Salim (1984–1985)
  12. M

    Baada ya kuwa mlokole

    Samahani nzalendo hapo unataka kufikisha ujumbe gani? Nani kakwambia kwamba Mungu atakumbuka uliyoyafanya ya uzinzi kwa kumpatia LIST yote? Nadhani hapa unafanya mzaha au aliyekuongoza kufanya hivyo amekupotosha. Biblia inasema hivi katika 1 Yoh 1:9-10 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu...
  13. M

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Kuna Siri iliyofichika kwenye hiki knachoitwa "repoti ya Uchunguzi" ya BBC. Hebu jiulize nini kinatafutwa pale SCOAN kama BBC wanashambulia upande huu na upande mwingine DSTV wanapanga kuiondoa channel ya Emmanuel tv kwenye king'amuzi chao hapo tarehe 17/01/2024?
  14. M

    Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

    Mkuu STALIN J V salam kwako. Dhima ya kuleta hili bandiko ni kuwaonyesha viongozi wa Michezo kwamba kuna fursa ambayo hatujaitumia vizuri bila kujali ni wangapi wanaupenda huu mchezo. Mwaka 2003 Tirunesh Dibaba. toka Ethiopia wakati huo akiwa na miaka 17 alishinda mbio za Metre 5000 kule...
  15. M

    Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

    Mkuu Kinumbo salamu kwako. Ukiangalia source au Author wa taarifa za matokeo hayo ya wakenya sio mimi na mimi nia yangu kubwa sio kuwapa taarifa za hayo matokeo yao mazuri kweye riadha bali ni kuonyesha kwamba sisi watanzania tunalo la kujifunza toka kwa majirani zetu. Kwa kuzingatia maelezo...
  16. M

    Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

    Ukiangalia utitiri wa washiriki wa mbio ndefu (Marathon) toka Kenya kwenye weekend moja tu na ufanisi wao kimatokeo, ni dhahiri wenzetu wamewekeza sana kwenye riadha hasa marathon. Kwavile Tanzania nayo ipo katika bonde la Ufa kunakoaminika kutoka wanariadha mahiri wa mbio ngefu, sio vibaya Dr...
  17. M

    Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

    Muneria Wins Malaga Marathon in Spain as Kenyans Rule Road Races in Busy Weekend for Athletics The 2016 Africa Cross Country bronze medalist Charles Muneria clocked a personal best of 2:08:54 to win the Malaga Marathon on Sunday as part of what was a plentiful harvest for Kenyans in various road...
  18. M

    Kosa alilofanya Mgunda Simba ni Kuongea na Mo kuhusu mkataba kamili kihalali kabla viongozi hawajaweka cha juu

    Sulemani Matola amemaliza kozi ya Kifaransa hivyo anaweza kuwa mkalimani mzuri sana
  19. M

    Kulikoni mpaka leo mshahara wa novemba haujaingia?

    Salam kwako Mkuu Liverpool VPN. Kama nimekuelewa vizuri Je ina maana unamshauri huyo mdau awe mwizi? kwa mtizamo wa watu kama wewe Nchi yetu itakaa ipige hatua ya maendeleo kweli? Umenisikitisha sana mkuu Liverpool VPN
  20. M

    Daniel Cadena kwa alivyoshusha ubora wa makipa. Na figisu zake akibaki Simba hakuna kocha atakaetoboa pale naapa!!!...

    Mkuu makaveli10 Salam. Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba Keeper Ayoub alifanya vizuri sana huko Far Rabat kiasi cha kuwashawishi kumuuza kuja Simba Sc. Je hiyo imekaa vizuri kweli? Ahsante
Back
Top Bottom