Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

Wewe ni mtoto wa 2000 ndio maana nakwambia sema attension iko uko ndio maana unadhani halijathibiti mafuriko hahahaha wewe umezaliwa lini? Bwawa limepunguza sana athari
20240407_175115.jpg
 
Sasa hapa unatakiwa kuelewa kwamba wanafungua milango ya bwawa ili maji yapite kutokana na maji yanayoigia kwenye bwawa kuwa mengi. Maanaake ata bwawa lisingekuwepo basi maji yangekuwa yananyoosha tu ata uo muda wa tahadhari wasingeupata.

Njia pekee ya kuzuia ayo mafuriko mvua kuacha kunyesha toka kwenye mikoa inayopitiwa na mito 3 yaani Mto Ruaha, Mto Kilombole na Mto Luega.
 
Rufiji kufurike mara ngapi?

Siyo mara ya kwanza au ya pili hii.

Baada ya kuololewa, wakati wa Nyerere, kuna mrufiji alisikika akisema "nyelele ntu, kama enzi ya zamami ntume. Katuletea hedikopta ikatujamisha . Lwachu kwachu kwachu".

Msioelewa, hayo mafuriko ya rufiji ya mara kwa mara ndiyo yalizaa wazo lijengwe bwawa la umeme, hilo ni wazo toka enzi ya mkoloni.


Naamini mwaka huu bwawa limesaidia sana kupunguza ukubwa wa mafuriko.
Madam FaizaFoxy heshima kwako.
Napenda kujua kwanini wasiweke Automatic Control ambayo itaruhusu maji kutoka nje kidogo kidogo kila ujazo ufikapo kiasi fulani wakati maji yakiendelea kuingia?
Mimi sio mjuzi wa hayo Mambo ila nadhani automation ingefanywa kwenye mifumo ya Hilo bwana & uzalishaji wa umeme ingekuwa Bora zaidi.
Ahsante
 
Madam FaizaFoxy heshima kwako.
Napenda kujua kwanini wasiweke Automatic Control ambayo itaruhusu maji kutoka nje kidogo kidogo kila ujazo ufikapo kiasi fulani wakati maji yakiendelea kuingia?
Mimi sio mjuzi wa hayo Mambo ila nadhani automation ingefanywa kwenye mifumo ya Hilo bwana & uzalishaji wa umeme ingekuwa Bora zaidi.
Ahsante
Zipo njia, maji haya yanayokuja kwa sasa ni mengi sana.
 
Hilo limeshakuwa Ziwa sio tena Bwawa ....

EIA ni muhimu sana KUZINGATIA kwenye miradi mikubwa kama hii
Ushauri tu hapa Rufiji watu wahame ...Mzigo ukizidi bakuli litaanyoosha mikono juu
 
Back
Top Bottom