Search results

  1. ziggibro

    Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Kweli hakuna biashara isiyo na changamoto na ndio maana huwa kuna utaratibu wa mikataba ili kulinda maslahi ya pande zote mbili, pia kunanakuwa na utaratibu wa kuweka wadhamini
  2. ziggibro

    Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Hii ni ya hesabu ya kawaida gari inabaki kuwa ya mmiliki
  3. ziggibro

    Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Hesabu huwa kati ya 100,000 mpk 150,000/wiki Na bei hupangwa kutokana na aina/upya/uimara wa gari Kwa gari ya hesabu mmiliki atahusika na service zote za gari kuanzia oil na marekebisho ya gari pale parts zinapochoka na zitapohitaji kubadilishwa.
  4. ziggibro

    Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0767553726
Back
Top Bottom