Search results

  1. K

    Mpenzi wangu hanijibu

    Ama kweli kua uyaone,nilijuwa magorofa. Ni siku ya pili leo hii tunakula milo miwili baada yamambo yangu kukwama kidogo. Hanipi unyumba na hanijibu kwachochote.ingawa milo tunakula ni miwili,ila haiwezi kuwa sababu yamimi kunyanyasika hivi Jana tukala mchana na jioni,asubuhi akanywa maziwa...
  2. K

    Ni wapi kwa Dar es Salaam/Kariakoo wananunua laptop?

    Bandugu kwema? Nina laptop naiuza. Ina ram 8GB, HDD ni 500, CPU ni 2.4GHz ni Hp. Kwa Dar ni wapi wananunua laptop used? Adapter yake ipo pamoja na battery.
  3. K

    Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

    Am going breafly! Mba wananisumbua baada ya kunyoa ndevu, ni mba wa ngozi, hawajakithiri ila ni ule weupe weupe tu. Naomba kufahamishwa dawa nzuri pamoja na dawa za kuoshea nywele au kupaka kichwani kama mafuta kila baada ya kuoga. Asanteni
  4. K

    Nimenyimwa namba kutoka kwa huyu binti na sijui kwa nini

    Nimechoka sana. Jumamosi nilikwenda barber shop moja hapa jijini. Pale nilikutana na hostess mmoja aliyenipokea kwa kunichangamkia sana Nikaingia na kuanza kunyolewa... sasa wakati kinyozi ananinyoa nilikua nampiga jicho huyu hostess aliyekuwa kwa nje Yeye alikuwa ana access ya kuona...
  5. K

    Walimu mlio wengi mmezoea kuambiwa ukweli Kwa Kubembelezwa

    Hivi Mtapata lini Akili Nyie Walimu?Huko Same Wamekamatwa Kwa sababu zinazoonekana za Kiuonevu Kabisa. Mmeonewa Sana ila Kwenye Uchaguzi Mkiitwa Mnakwenda Kama Nyumbu. Hamuwezi kujisimamia. Baadhi ya Walimu wengi Ni Wasenge Kabisa
  6. K

    Nimewekewa chai isiyo na sukari na mia mbili kwenye poti la vitafunwa

    Jamani kwema? Nilitoka kidogo nikaacha hela mezani,nikamsisitiza aongezee kiasi fulani kutoka kwenye vikoba vyao ili tupate mchele robo tule wali na chai asubuhi hii. Akaitikia sawa, narudi nakuta kanitengea chai mezani. Nikaoga kisha nikaketi ili ninywe. Nafungua poti nakuta sarafu ya mia 2...
  7. K

    Utajuaje kama Yesu karudi? Utamtambua vipi?

    Jamani kuweni makini sana!. Unabii na utimilifu wake, umefichwa kwenye mafumbo mazito!.
  8. K

    Watu aina ya Robert Heriel wanahitaji wanawake wa kipekee mno

    Habari za Jumatano hii! Leo nilikuwa na tafakuri nzito kuhusu personality ya watu kama R. Heriel humu jamiiforam. Si Robert tu, kuna huyu mtu anaitwa Wyatt Mathewson pia. Nilichojifunza kuhusu watu wa kariba hii ni; 1. Wanahitaji wanawake wasomi ili waweze kueleweka. Watu kama Huyu taikon...
  9. K

    Una uhakika mkitajirika mkeo hatobadilika?

    Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu. Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu. Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika. Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu...
  10. K

    Nyie wadada wa pub acheni ushamba na kushangaa shangaa hovyo

    Wajinga kabisa! Leo nawachana. Weekend ya J2 ambayo ni jana nilikwenda restaurant karibu na pale TipTop night club. Huduma zenu ni nzuri ila wahudumu wenu wanaharibu. Niliagiza energy zangu nne za Mo. Kwa kuwa hawawekagi muziki nilibeba radio yangu nikawa nasikiliza amapino,ni zile radio...
  11. K

    Ni week sasa mke wangu anawashwa na mguu mzima

    Habarini waungwana.! Niende kwenye dhima ya uzi wangu. Mke wangu mdogo ana week ya pili mguu unamuwasha mno. Naomba kueleweshwa tiba. Anasema akifanya mapenzi asubuhi hali hii humkuta. Pia ana tatizo kidogo la vinyweleo miguuni japo si sana. Msaada please! Ni allergy au chaweza kuwa nini?
  12. K

    Nimeficha sufuria la nyama chini ya kitand,mke wangu mkubwa hana bajeti

    Jumatano njema. Kama kichwa cha uzi kinavyosema,nimeficha sufuria la nyama chini ya kitanda chetu. Mke wangu hana bajeti kila nikinunua mboga lazima agawe gawe hovyo. Sasa leo nilinunua nyama robo kilo asubuhi,akapika akaenda kuchota maji.kabla hajaondoka nami nikazuga naenda kuangalia mpira...
  13. K

    Mke wangu amepata tatizo la michirizi. Ni mjamzito nini dawa ya haraka haraka?

    Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza, mama kijacho wangu ameanza kupata shida ya michirizi kiunoni na tumboni hivi karibuni. Kwa mjuzi wa dawa tusaidiane katika hili tafadhali. Kabla sijafanya uamuzi wa kutafuta dawa pharmacy nimeona nije huenda nitapata ABC's humu. Nb; Picha haina uhusiano...
  14. K

    Amechora tattoo begani ya ua nililomnunulia

    Wanajamvi hamjambo? Huyu mchumba wangu ambaye ni mjamzito mpaka sasa aliniomba anichore begani kwake ila nikakataa Kwa hasira nafikiri za mimba changa, amechora ua hilo hapo begani. Anapenda tattoos sana na hili haliwezi sababisha iniletee shida kwenye kubadili dini? Na hajali maneno yeye...
  15. K

    Mke wangu mtarajiwa amekula 100,000 yangu kimasihara jana nikabaki mweupe

    Wanawake sijui sometimes wanakuaje? Jana nimepiga kazi flani nikabahatisha laki moja cash. Narudi home tumepiga stori mbili tatu na mke mkubwa then nikaenda kwa mke mdogo jioni hiyo. Sasa kufika nikaandaliwa chai nzito kwa rost ya uyoga nikala. Akawasha redio tukaanza kucheza muziki. Ghafla...
  16. K

    Ameniambia nichague kati yake na JF

    Nalia na naumia sana moyoni mwangu Hata mke wangu mkubwa simjali kama ninavyomjali yeye Kila siku nimeweka bill ya maziwa fresh lita moja na mtindi nusu lita. Na bado matumizi mengine kama kusuka(bleach, ku set, weaving etc) namtimizia Jana mtu wa maziwa hakupita akaniuliza km nilimpigia simu...
  17. K

    Weekend siku ya jana nilikwenda kufanya masaji chimbo jipya

    Khali za uzima jamani Jana baada ya kutoka job mida ya saa kumi jioni nikaenda chimbo jipya kwangu kwa ajili ya masaji. Home niliona ni mapema sana kurudi. Kwa kweli dsm ni pana mno mno mno. Basi nikakaribishwa na kuingia ndani. Nilikuwa na 50000 mfukoni. Nikanyoa nywele kwanza then...
  18. K

    Nimeoa mke wa pili nauliza kuhusu utaratibu wa kubadili dini

    Zaasubuhi wanaJamii folams Ni miezi 5 tangu nimefahamiana na huyu binti. Ni binti mwerevu,msomi(degree) na mchapakazi. Tuliktana pub alikua anahudumu. At first sight tu macho yetu yalipogongana mioyo yetu iliungana na nikampenda tokea hapo. Ni mrefu ana mwili kiasi, anajipenda(anapenda...
  19. K

    Wengi wa manabii na watu aliyowatumia Mungu walikuwa watu tough, hawakuwa nice guys

    Leo nami pia nimebaini vitu vingi sana kuhusiana na hili. Petro, Paul, Eliya, Daudi n.k, hawa wote walikuwa wagumu sana. Kufuatia mada mbari mbali naomba namimi niweke maonl yangu apa... Wengi wao walikua wakorofi,watabe na wababe.sijui kuna siri gani hapa. Hata Ibrahimu alikuwa mbabe hakuwa...
  20. K

    Wanawake hawahitaji vingi, ni nyama ya ulimi tu basi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takribani mwezi tangu nimeanza ku interact na huyu mwanamke kwa namna moja ama nyingine. Siku ya kwanza alinikuta mgahawani nakunywa supu ya utumbo, nikamkaribisha akakataa, kabla ya hapo pia nilikua navutiwa naye. Siku ya 2 nikakutana...
Back
Top Bottom