Search results

  1. Muccigang

    Wakristu kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    [emoji23][emoji23][emoji23] uislamu umekuja after ukristu uislam umekopi vitu vingi kwenye ukristu angalia vitu vya kuongea
  2. Muccigang

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Ruby kwa uzuri gan inamaana wanawake wanao toboa akina saraphina walimpa nan mzigo afanye kazi.
  3. Muccigang

    Umepanga kuzaa watoto wangapi?

    Mmoja au wawili
  4. Muccigang

    Leo nimeshuhudia ajali ya bodaboda mpaka nimetetemeka

    Bora nitumie bolt madereva wenye leseni na kila kitu
  5. Muccigang

    Mama Bonge wa Kariakoo asimama na Rais Samia Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Yuko sahihi wateja mnaona mnanunua tu bidhaa changamoto tunazipata sisi tunategemea kupungua gharama za usafirishaji maaana duuh 1kg n kama 30k+.
  6. Muccigang

    Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Hiyo hela ndogo watu wanatumia 50 per day na hawajaoa
  7. Muccigang

    Nichukue mkopo bank gani?

    Take risk kopa mzee usikute ndo tobo lako.
  8. Muccigang

    Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Walinizaa ili nikakae wapi walinijengea nyumba ntakaa home had nakufa.
  9. Muccigang

    Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

    Urusi sjui kama atatoboa.
  10. Muccigang

    Watu wabaya ni wengi kuliko watu wema?

    Jamaa alimsaidia aisee
  11. Muccigang

    Waliokuwa na chuki binafsi na Rais Samia wajiweka hadharani na Taifa limewatambua

    [emoji23][emoji23][emoji23] umeona isiwe kesi umaweka na namba
  12. Muccigang

    Erdogan anaongoza kwa kuwa Rais Ndumilakuwili duniani

    Waislam majina au maana wametoboa had masikio.
Back
Top Bottom