SEHEMU YA TATU
MOJA katika mchoro huo ni idadi ya watekelezaji wa ujambazi huo katika benki ya NMB MWANGA, kwa mujibu wa “mastermind” mwenyewe ambaye ni MACHO MBAYA aliona kunahitajika watekelezaji sita [6] tu ili mchoro utendewe haki na ujambazi wao kufanikiwa.
Hapo wao majambazi WAKENYA ni...
Pamoja mkuu nitakucheki kwasasa niko resi kidogo na usambazaji vitabu, kuna chanzo changu kimoja kilinikomalia mama alikuwa anajua mchezo mzima ila nitakutafuta.
SEHEMU YA PILI
Wazo kupitishwa ndo mwanzo wa kurudi tena swali gumu lile la mwenyeji wao atakuwa nani nchini TANZANIA maana jamaa waliyemzoea na kufanya naye biashara za kihalifu nchini TANZANIA hakuwa duniani tena baada ya kuuliwa na polisi jijini ARUSHA.
Jambazi huyu alikuwa akijulikana kama...
Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu.
Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi.
Namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.