Search results

  1. Ballot

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    nipo matatizoni,yaani imetokea nimempenda mwanamke anayenizidi miaka 8 jamani,mimi ni 38 na yeye ni 46,ana watoto lakini hana mume,nifanye nini manake moyo wangu umeshamwingiza ndani?ni msomi ana hana majivuno kabisa,sio beautify lakini ni intelligent,hana dharau kwa sababu akinitembelea...
  2. Ballot

    Wahindi wahama Moshi

    ulikuwa hujui wachaga hawalali??au unafikiri ni kama wahehe wanavyoburuzwa na waarabu???
  3. Ballot

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    When we were drinking, we had all those things but didn't notice them because we were always to drunk to see them. Once we sobered up, we see and feel all the things that the alcohol was covering up. If we didn't stop, we wouldn't see them and thus would die sooner for lack of proper treatment...
  4. Ballot

    how to edit scan document

    i dont think so,kuna jinsi ya ku edit
  5. Ballot

    wataalam wa mapenzi msaada

    wakuu bado sijapata msaada hapa
  6. Ballot

    wataalam wa mapenzi msaada

    Si kweli mkuu'punyeto niliacha zamani sana'wakuu hili swala linaweza kuwa na uhusiano napombe??manake nimecha pombe week chache zilizopita na huyu demu ndio wa kwanza tangu nimecha pombe
  7. Ballot

    wataalam wa mapenzi msaada

    wakuu kuna kitu kinanisumbua sana!mimi sijao lakini umri umesogea'nimekuwa na uhusiano na wanawake wengi'kinachonishangaza ni baadhi ya wanawake nikifanya na mapenzi inakuwa shughuli pevu'yaani natafuna mzigo kinoma wakati mwingine inaweza kufika mpaka dakika 30'lakini nimekutana na mwanamke...
  8. Ballot

    Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

    kwani zanzibar hata tusipofanya kampeni wapiga kura hawafiki laki2''is good lesson!
  9. Ballot

    waswana ni watu wa ovyo sana

    wakati mwingine najiuliza hivi huku botswana nafanya nini mimi??kuishi na watu wanaonitia hasira kila siku nimechoka kabisa''jana nimepita mitaa fulani nikaona jamaa wanamchinja ngo'mbe yaani ni machinjioni''yaani ndugu zangu nilijuta kwa nini nilipita mitaa ile na kosa kubwa nilipaki gari yangu...
  10. Ballot

    Nina Jipu kwenye paja

    Fe lady tunakuheshimu hapa jamvini'fikiri kabla hujamwaga wino'ni wazo tu!
  11. Ballot

    Wanaounga mkono ccm choka mbaya

    yaani naangalia kupitia tv jinsi watu wanaojiita wana ccm walivyokaa pale kirumba mwanza yaani jamani jamaa wamechoka mbaya'yaani sura zinaonyesha jinsi wasivyo na matumaini'' Nahisi hawajui nini hasa kinaendelea ndani ya taifa hili wakati vijana wenzao watoto wa mafisadi wanavyopewa ulaji na...
  12. Ballot

    Nina Jipu kwenye paja

    Magata nashukuru sana kwa maelezo yako ya kitaalam'ni kweli nilipata homa kali na sikulala kabisa'''asante mkuu kwa sababu nilijaribu ku-search kwenye google kinachosababisha sikupata jibu'thank you
  13. Ballot

    Nina Jipu kwenye paja

    wakuu acheni utani'mbona nimepima ni negative??
  14. Ballot

    Nina Jipu kwenye paja

    naombeni msaada nina jipu kubwa kwenye paja langu la kulia'kwa kweli juzi usiku sikulala homa kali na joto kali la mwili'nimeenda kumwona doktari akanipa antbiotic na asprin na sasa hivi Naendelea vizuri''naombeni mwenye kujua nini kinasababisha majipu anisaidie'nahisi labda kwa vile nimeacha...
  15. Ballot

    Mtoto wa Liyumba!

    SAKATA la Morine Liyumba ambaye ni binti wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu, Amatus Liyumba, kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga', linawahusisha vigogo 10 Bongo. Vyanzo visivyo na shaka vimelitajia Amani majina 10 ya vigogo ambao wanahusika katika mtandao...
  16. Ballot

    serikali ya magamba kwisha''jf yaombwa kuunda serikali ya mpito

    Poa mkuu ngoja ni sing in sasa hivi
  17. Ballot

    Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

    Na bao atacheza
  18. Ballot

    serikali ya magamba kwisha''jf yaombwa kuunda serikali ya mpito

    Mkuu Buchanan hiyo id mmeifuta makusudi kabisa'kila niki sing in inagoma'kuna message inasema hakuna id kama hiyo''hii ni mpya nipo tayari kuachana nayo kama mtarudisha my Original one
  19. Ballot

    JK angani tena

    subuutu!hakuna hela vile vihela walivyokopa kwa wachina kwisha!naongelea exprience nipo hazina
  20. Ballot

    serikali ya magamba kwisha''jf yaombwa kuunda serikali ya mpito

    mods nirudishieni id yangu ya topthinker acheni uonevu
Back
Top Bottom