Search results

  1. K

    Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

    Mrembo sana tena inaonyesha ana busara
  2. K

    Kibali cha kuwinda wanyama kinatolewaje?

    Mwajuma mchawi rudi banaaa...leo nimejiandaa kucheka! Jana ulinisapraiz....uzi wako mh...had pdidy kawa mpolee...
  3. K

    Kibali cha kuwinda wanyama kinatolewaje?

    Du...kweli mwajuma mchawi ni mbunifu. Umebuni kitu cha kuchekesha na kuprovoku watu.na umefanikiwa mn kuna watu wameshaprovokika na wengine tumechekaje! Big up.
  4. K

    Graduates, ni vizuri mngesoma kozi fupi ziwasaidie kujiajiri huku mkisubiri Ajira

    Ha haa.. kweli...hapo kwenye uniform ndo mtihan kdg
  5. K

    Mambo machache ya kushangaza kuhusu Nabii Eliya Mungu wa Majeshi

    Majanga haya jamani...! Wapendwa tujihadhari sana na hasa watu wanaojipachika majina ukiwachunguza ni hatari sana...kujiita "mzee wa yesu" ndo nini sasa.
  6. K

    Angalizo Kwa wanamaombi Kwa Katiba

    Uko sahihi mkuu.mara nyingi walokole tunajitoa ufahamu kabisaa...hata kufikia hatua ya kufanya maombi yasiyo na mwelekeo au ya kinafiki.Mungu atusaidie sana
  7. K

    Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

    Ha haa!inatosha mkuu, hii tayari ni overdoze
  8. K

    Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

    Ama kweli we ni sumu...anyway haikuwa lazima ujibu km huna mwanga.
  9. K

    Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

    Ndugu wanajamvi naomba kuelimishwa kidogo kupitia swali lifuatalo: Kuna uwezekano wa mtu kufanya Phd bila kupitia Masters? Na kama jibu ni ndio ni katika mazingira gani hasa? Nauliza hivi sababu nilisoma juzi kwenye gazeti Grace Mugabe yuko mbioni kufanya shahada ya uzamivu akiwa na shahada...
  10. K

    Nimepata gari ya laki mbili

    Utata mtupu!
  11. K

    TANZIA Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia

    Polen wafiwa.Mungu awape faraja yake
  12. K

    Mwimbaji wa nyimbo za injili Debora John Said afariki dunia

    Mwanamuziki wa nyimbo za injili mama mchungaji Debora John Said amefariki dunia.Sina taarifa ya kutosha ila nimesikia tangazo hili radio Wapo mchana huu bila maelezo zaidi kama lini amefariki na kwa tatizo gani.Yeyote mwenye taarifa zaidi atujuze. Mungu awatie nguvu familia yake na waumini...
  13. K

    Natafuta soko la asali na nta

    Asante kwa ushauri.
  14. K

    Natafuta soko la asali na nta

    Yes am serious.nyuki wakubwa ila bado nakusanya mzigo kupitia vijana wangu Tabora nitajua baadae kidogo kuhusu jumla ya tani na bei baada ya kujua gharama za usafiri pia.asante kwa ushirikiano.
  15. K

    Natafuta soko la asali na nta

    Wapendwa wana JF naomba muongozo wenu.natafuta soko au wateja wa jumla wa nta na asali.nitafurahi zaidi nikipata wateja wanaoexport kwa ajili ya bei nzuri.kwa yeyote anayejua vizuri kuhusu hili naomba anisaidie hata mahali sahihi pa kuanzia mn nilikwenda tantrade sikupata taarifa yeyote ya...
  16. K

    Mzee wa Upako amchana live TB joshua

    Nchi hii ina majanga kibao...mara albino dili mara mtoto wa box....na tz ni kinara wa uchawi africa! Huoni km una assignment ya kutosha wewe km mtumishi.yatima kibao, wagonjwa, wafungwa, watoto wa mitaani na makundi mbalimbali yanayoteseka.jifunze bas upendo kwa Tb Joshua mn kila siku anagusa...
  17. K

    Mzee wa Upako amchana live TB joshua

    Ni udhaifu kupambana na mtu ambae hana time na wewe. Lusekelo hata hujishtukii! We ndo kila siku unamfatilia Tb, unaangalia tv yake.jiulize kama yeye anajua km unaexist chini ya jua.
  18. K

    Mzee wa Upako amchana live TB joshua

    Kwa mtazamo wangu naamini si busara kwa mtumishi wa Mungu hasa mwenye hadhi km ya Lusekelo kuacha kufafanua neno la Mungu na kurukia kukashifu huduma ya mwingine tena kwa kumtaja jina au kuongea kwa namna ambayo kila mtu ataelewa anayesemwa ni nani.Hivi Yesu angekuwa hapa dunian angefanya hivyo...
  19. K

    Israel yamzawadia Mwalimu Mwakasege kwa huduma yake

    Kazi yako ni njema san mwalimu Mwakasege.Ubarikiwe sana
Back
Top Bottom