Kibali cha kuwinda wanyama kinatolewaje?

Nifanyie mpango ongea na mwajay kuna tuisheni huku, ila aje na daftari ya mwandiko yenye mistari midogo na mikubwa, si unazijua zile daftari????????.

Hahah sijui kama utaweza, MM ana dili la wanyama pori sijui wanauhusiano gani na uchawi??
 
Daaaaah kilichowachanganya wanaJF ni neno wanyamapori wa porini ha ha ha ha ha haaa,nikusaidie Mwajuma Mchawi tumia neno tu wanyamapori tu ndio sahihi. Kuna aina mbili za uwindaji wa wanyamapori ya 1. Uwindaji wa wenyeji (Resident hunting) 2.Uwindaji wa kigeni(Tourist hunting), sasa huu wa kigeni sidhani kama utauweza ni gharama mno. Huu wa kienyeji ndio sahihi kwenu kwakuwa unaratibiwa katika maeneo yaliyochini ya mamlaka za halmashauri ingawa uratibu wa vibali unasimamiwa na mkurugenzi wa idara ya wanyamapori,hivyo nenda kwenye halmashauri iliyo karibu nawe watakuelewesha maana ni somo refu kidogo tutajaza page humu JF.
 
Mpenzi Apologise lady yaani mi sielewi shule aliyosoma huyu mwanamke mwenzenu. Ndio maana nakuta mada nyingi hachangii sijui anaogopa kuchekwa!!

yaani my sweet mim hainiingii akilini mtu asiejua kuandika akaweza kuingia jf, huyu ajua zaidi lugha ya malkia, hiki kiswaz chetu ndio anajifunza. wacha tuendelee kufurahi sie. mzima wewe, leo maombi wapi pastor?????????? hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahah sijui kama utaweza, MM ana dili la wanyama pori sijui wanauhusiano gani na uchawi??
ha ha ha, wewe nawe mmmh!!!
Lugha ya malkia anaimudu vizuri ndio maana anataka kibali cha kuwinda, anataka apakie ELEPHANT kwenye chopa.
 
Mwajuma mchawi rudi banaaa...leo nimejiandaa kucheka! Jana ulinisapraiz....uzi wako mh...had pdidy kawa mpolee...
 
Moderator kawahi kuweka mambo sawa naona.

Moderator, vitu kama hivi usifanye haraka kurekebisha wacha watu kidogo wajifarij. Ndiyo raha za JF hizo.

JF is never boring - The Boss

bado moderator naye kachemka kidogo, hiyo alama ya kuuliza ingetoka, halafu bado nina hili jambo la "wanyama pori wa porini" hii nayo sio sawa kwa sababu wanyama pori wote ni wa porini, sijawahi kusikia wanyama pori wa mjini.
 
Nahushukulu hukohongozi wa jamii folaram kwa kusaisha mwandiko wangu hasante. Nimipata jawabu nimomunamambaia kaka yuki.
 
yaani my sweet mim hainiingii akilini mtu asiejua kuandika akaweza kuingia jf, huyu ajua zaidi lugha ya malkia, hiki kiswaz chetu ndio anajifunza. wacha tuendelee kufurahi sie. mzima wewe, leo maombi wapi pastor?????????? hahahaaa

Hahaha mama Mchungaji Apologise lady umesahau ratiba? Leo si tunakwenda kuombea familia ya mzee Ngwitimbamatapanganjale?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom