Search results

  1. O

    Huyu hapa mzee kamanda aliejitolewa kuipa chadema kiwanja chake bure (picha)

    Wakuu sikuzote huwa nadondosha vitu vyenye ushahidi wa nguvu humu JF,nimeona uzihumu JF unaohusiana na mzee mmoja aliekabidhi kiwanja chake chenye ukubwa wa zaidi ya hekali moja ,ambacho kipo maeneo ya Mkuyuni njia panda ya kwenda chuo cha ualimu (Butimba TTC)kilomita kadhaa kutokea katikati ya...
  2. O

    Hawa ndo viongozi wa chadema saut na makabila yao.

    Wakuu kutokana na propaganda zimezokuwa zinaelekezwa kwetu kama chama (CDM)propaganda za udini,ukabila na hata ukanda,propaganda ambazo zimekuwa zikiendeshwa na magamba na wafuasi wao,wakisaidiwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani ambao ama kwa majina yao,kabila zao na dini zao wamekuwa...
  3. O

    Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

    Hii nimeitoa kwenye facebook ya kamanda wetu mtajwa hapo chini,tusome Mtazamo wangu huku makamanda wa CDM tukiwa tunaelekea kwenye chaguzi mbalimbali za ndani ya chama napenda kutoa mtazamo wangu juu ya nani anafaa wapi na kwa nafasi gani. 1: Dr. Willibrord Slaa,mwenyekiti wa chama...
  4. O

    Michakato ya Katiba mpya za kiafrika zitaacha matone ya damu mpaka lini

    Kenya kipindi cha maoni ya upitishaji wa rasimu ya katiba mpya nchini Kenya damu ilimwagika kutoka upande wa wananchi na ikamwagika pia kutoka upande wa wajumbe wa tume ya katiba mpya hiyo. Kenya aliuwa Prof Odhiambo Mbai,na watu waliodaiwa kutumwa na serikali ya kipindi hicho,leo Tanzania...
  5. O

    Mbatia,yupo chuo kikuu SAUT anatoa mada

    wakuu nipo ndani ya viunga vya chuo kikuu SAUT ndani ya ukumbi wa m13 ,ambapo kuna kongamano la Mambo ya afya ,ukimwi na vijana wasomi ,kongamano ambalo limeandaliwa chini ya uratibu wa rais wa chuo hicho mwaka janana katibu mwenezi wa CDM SAUT mwaka juzi kamanda Godlisten Malisa,mbali na Mbatia...
  6. O

    CHADEMA ni msingi:CHADEMA SAUT waenda mbali zaidi.

    Wakuu katika kile kinachonekana ni kutekeleza maadhimio ya kamati kuu ya sera ya CHADEMA ni msingi,tawi la CHADEMA SAUT Mwanza chini ya uongozi makini wa kamati tendaji ya tawi hilo wameanza utekelezaji wa sera hiyo kwa kusimamia uanzishwaji wa misingi ya chama kwenye kila COURSE na kwa kila...
  7. O

    Muhimu kwa wana saut campus ya mwanza

    MUHIMU SOMA Wizara ya mikopo SAUTSO inawafahamisha wanufaika wote wa MKOPO kuanzia mwaka wa 2,3 na 4 kwamba kesho 7/10/03 kuanzia saa3:30 kufika maeneo ya ATM chuoni hapa wakiwa na ATM card ya CRDB na kitambulisho cha chuo kwa ajili ya kusaini FEDHA ya kujikimu,wizara inaomba uzingatiwaji...
  8. O

    Chadema wilaya kibondo na jimbo la muhambwe kwawaka moto

    Wakuu hali ya CDM wilayani Kibondo jimbo la muhambwe sio nzuri na inahatarisha ustawi wa chama na wilaya kwa ujumla,ni kwa mda mrefu kumekuwa na mgogoro wa chini kwa chini baina ya uongozi wa jimbo na wilaya kabla wilaya hiyo kugawanywa mala 2 na kupatikana kwa wilaya mpya ya Kakonko na hivyo...
  9. O

    Gazeti Mtanzania:Ndugai amekosea awaombe radhi wapinzani

    Wakuu katika tahariri na maoni ya mhariri wa gazeti la Mtanzania leo tarehe 8/9/2013, mhariri wake amejikita katika kujadili mambo yanavyoendelea bungeni Dodoma. Mhariri ameanza kwa kueleza kwamba busara ilipaswa itumike kwani kikanuni Mbowe bungeni anakuwa analindwa na kanuni kama za waziri...
  10. O

    Gazeti la Tanzania Daima mnatukwaza na kutukera wasomaji wenu wa kwenye mtandao

    Ni takribani mwezi wa3 sasa gazeti lenu ambalo kimsingi linawasomaji wengi limekuwa ni kero kubwa katika upatikanaji wa habari ,kwani ukurasa wa mbele (front page)inafunguka vizuri bt baada ya mda ukurasa wote unafunikwa na tangazo ambalo kimsingi kwa sisi tunaotumia simu kusoma gazeti hilo...
  11. O

    Mbowe,Lissu na Mnyika wanaitikisa Kibondo sasa watu nyomi ya kutosha(picha )

    Wakuu sina mengi leo bt nataka picha ziongee,Mbowe,Lissu na Mnyika ndani ya jimbo la Muhambwe wapo wanamwaga sera na elimu ya rasimu ya katiba mpya,kwa kweli watu ni wengi na rasimu ipo inachambuliwa,Mnyika na Lissu washamaliza sasa ni zamu ya mwenyekiti wa taifa Mbowe,picha zitzfuatia wakuu...
  12. O

    Viongozi wa CHADEMA kutikisaa Kigoma wiki hii.

    Wakuu sasa ninawapa habari ya uhakika kuhusu mikutano mikubwa ya CHADEMA inahusiana na rasimu ya katiba mpya na mchakato wake kiujumla itakayokuwa ikihutubiwa na viongozi wa kitaifa wakiongozwa na mwenyekiti wa CDM mh, Mbowe, Mnyika na pia walipaswa wawepo Tundu Lissu na profesa Safari bt sina...
  13. O

    Why CHADEMA Moshi,Arusha,Dar,Mwanza,Shinya nga & Iringa na sio Kigoma?

    Wakuu ni kwa muda sasa nimekuwa najiuliza kwanini harakati nyingi za CHADEMA zimejikita mikoa tajwa hapo juu na si mikoa mingine hususani mkoa wa Kigoma. Niwajulishe tu kwamba tangu kumalizika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 hakuna kiongozi yoyote aliefanya mkutano ama harakati zozote za ujenzi wa...
  14. O

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibondo ajiuzulu

    Wakuu sasa ni wazi hali ya kisiasa ndani ya CCM mkoa wa Kigoma ni mbaya na ngumu,leo mchana mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma bwana Emmanuel Gwegenyeza,ametangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo na kwamba ameshaandika barua ya kujiudhulu na kuikabizi ndani ya ofisi ya CCM mkoa. Hatua...
  15. O

    Dk Kitima aitabiria mabaya CCM mbele ya Wassira

    Makamu mkuu wa chuo cha mtakatifu Augustino SAUT,tawi la Mwanza,dk Charles Kitima amesema kutokana na mambo ya hovyohovyo yanayofanywa na serikali dhaifu ya CCM ni lazima itaondoka madarakani 2015 hata kama wataandaa mbinu zote za kuiba kura. Huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachuo, Kitima...
  16. O

    Selasini: Islamic knowledge na Bible Knowledge yasimamiwe na na dini husika

    Ni jioni hii wakati akichangia hotuba ya wizara ya elimu na mafunzo,mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ameitaka serikali iziachie dini husika kushughulikia suala la kuratibu namna ya kuendesha elimu ya dini na kusimamiazoezi zima la usahishaji kwani kwa kusahihisha mitihani hiyo ni ukiukwaji...
  17. O

    Sitta amwandama Slaa kwa wasomi wa Chuo Kikuu cha SAUT

    Wakuu sasa hii ni vita mpya ambayo waziri wa Afrika mashariki Samweli Sitta aliianzisha na anazidi kuichochea,tukiwa bado hatujasahau wakati spika huyu mstaafu akihitimiisha bajeti ya wizara yake ya Afrika mashariki,tulishuhudia kwa jinsi alivyotoka nje ya mada na kuanza kuishambulia CHADEMA na...
  18. O

    CD za CHADEMA na Dk Slaa zasababisha polisi kunyanganya mali na kukamata watu

    Kwakweli viongozi wa CCM kwa sasa wanaweweseka vibaya sana mpaka wanatia aibu, wiki sasa imeisha tangu CD zinaonesha matukio na harakati mbalimbali za chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA na baadhi ya CD zikimwonesha Dk Slaa akiwa kwenye midahalo mbalimbali kama ile iliyorushwa na ITV na...
  19. O

    CHADEMA mna mpango gani na majimbo haya ya Kigoma?

    Kimsingi sielewi tatizo ni nini ama Waha tumeikosea nini Tanzania na CHADEMA, wote tunatambua juhudi kubwa za wanakigoma katika kuyapokea mageuzi ya kisiasa hapa nchini kwani tangu vyama vingi vianzishwe mkoa wa Kigoma ulikuwa wa kwanza kutoa mbunge wa upinzani nchini,na kwa sasa mkoa mzima CCM...
  20. O

    Amani ya tanzania kitanzini

    AMANI YA TANZANIA KITANZINI kwa mala nyingine Tz kama nchi ipo kwenye majaribu makubwa kabisa ya kulinda na kuitetea Amani yetu,vitendo vya mauaji,utesaji vinaelekea kuwa ni ibada ya kila siku ya makundi ya watu fulani,kwenye tukio la juzi la ugaidi huko Arusha serikali haitoi majibu ya...
Back
Top Bottom