Search results

  1. BRO LEE

    Nikiambiwa hii Mvua Kubwa inayonyesha (hasa Mkoani Dar) haijaondoka na Watu na haijaleta madhara ya Mali na Miundombinu nitabisha hadi Kiama

    Hii taarifa ingekuwa na picha ingependeza. Kwa wananchi wa DSM sitarajii wadanganyike kirahisi km wa Mikoani, et kujengewa daraja na mbunge !!. Tujifunze kutafuta taarifa toka mamlaka zinazohusika.
  2. BRO LEE

    Eti anadai hawezi kwa sababu mimi ni mama wa mwanae!

    Heshima mwisho sebuleni chumbani kazi kazi, wanaume ndo tunafail hapo mwanamke anataka akunjwe , aminywe halafu mtu anampapasa. Ndo sababu wengine wanagongewa na bodaboda wao wanapigw rough km wanavyoendesha tough
  3. BRO LEE

    Nisikilize: Mkeo si ndugu yako

    Maisha hayana kanuni kwa hiyo itategemea na wanandoa au wanafamilia, wapo ambao wenzi wao ndo waliowatoa kwenye utumwa wa fikra na uchumi toka kwa ndugu zao na kuwafanya wajiamini na kujiyegemea na mwisho na hivyo kuwa na uchumi na maamuzi binafsi kwake mke ni kila kitu. Wapo ndugu lawama wao...
  4. BRO LEE

    Nifanyeje?

    Habari wadau, natumia oppo A 55, nimejaribu ku-install snatube app lakini haikubali naomba msaada nijue nakwama wapi au nifanyeje. Nimeshaitua kwa simu ya awali Oppo A 16 na huawei.
  5. BRO LEE

    Mke mtarajiwa wa kaka hatujamuelewa kabisa

    Huo ubovu ni upi, yeye ndo mwenye kuoa na ndo anajua yaliyomo
  6. BRO LEE

    Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Mzigo ukimpa konda lazima uwe na wasiwasi na huenda usifike, sawa na kutuma nauli kwa mwanamke ambaye hata hajakuelewa unataka aje gheto au guest flan utaliwa tu. Km unamjali mpenzio hawezi kudai nauli shida wapo wagalatia wao wanajua kupaka vumbi la kongo na kusimamia shoo hawajui kutoa...
  7. BRO LEE

    Youtube downloader for Android

    Nilikuwa naitumia kwenye Huawei ila natumia oppo inagoma kuwa installed, nimejaribu kuruhusu app toka google bado inakataa.
  8. BRO LEE

    Msaada: Naomba tafsiri ya Ndoto hii

    Sijawahi amini katika ndoto, we potezea tu huenda kulikuwa na story za kuchinja kuku , hapo kuna story za huyo mdada. Taarifa nyingi kwenye ubongo zikaja kwa wakati mmoja.
  9. BRO LEE

    Morogoro: Dereva bodaboda auawa, atobolewa macho

    Bro una una hasira usihukumu wote, hata hivyo huenda hao wanawake wanafanya nao wao ndo huwatongoxa au kujirahisisha kwao
  10. BRO LEE

    Je, kurudia au kubadili rangi gari ni vibaya?

    Moshi wapi kaka km inafaa nipate na contact
  11. BRO LEE

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Daah stori tamu sana, ila hapo kwa Monika bado sijaamini km umeachana nae kirahiv hivyo wakati ni wachawi wa kiwango cha SGR
  12. BRO LEE

    Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Huyu mwanamke bado unaye? Vipi kuhusu dada wa kazi ulimuondoa au kuoa?
  13. BRO LEE

    Kumbe Kilimanjaro na sifa zenu za kujifanya matajiri mkoa wenu una njaa. Kuleni GDP zenu sasa

    Ngoja nikuache tu, hujui tofauti ya *kuwa na njaa" na uwezekano wa upungufu wa chakula wewe.
  14. BRO LEE

    Kumbe Kilimanjaro na sifa zenu za kujifanya matajiri mkoa wenu una njaa. Kuleni GDP zenu sasa

    "kuna uwezekano wa kuwa na upungufu wa chakula tani 132,584 kwa mwaka huu 2022/2023,” amesema Kagaigai" Umeongea unarusha mate kibao wakati hujaelewa!, maeneo mengi Kilimanjaro bado mazao yapo shambani kwa hiyo tathmin kamili ni baada ya mavuno, na upungufu unatokana na uhaba wa mvua...
  15. BRO LEE

    Nifanye nini kudhibiti Pesa?

    Labd huna malengo na huna msukumo wa kuteleleza jambo fulani. Anza kwa kuweka malengo makubwa ila yanayotekelezeka km unapata kiasi hicho unaweza kufanya mengi ni suala la malengo na uamuzi.
  16. BRO LEE

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Habari wana forum sikuwepo kwa muda humu nimewakumbuka sana, naendelea kusubiri threads na comments za members nao wakubali sana, humu ni zaidi ya chumba cha habari, darasa, ni jukwaa lililo bora sana. Nawatakia weekend njema.
  17. BRO LEE

    Kisarawe: Watu 8 wavunja nyumba saa nane usiku, wabaka, waiba na kujeruhi kwa mapanga

    Katiba mpya? Inaondoaje vibaka. Kinachotakiwa ni kuimarisha mifuko ya ulinzi kuanzia ngazi za jamii, kipindi cha nyuma polisi jamii ilitiliwa mkazo kukawa na ulinzi shirikishi vitendo vya uhalifu vikapungua. Wakati wa mwendazake akasimamia uwajibikaji wa viongozi kila ngazi kukawa hakuna uzembe...
  18. BRO LEE

    Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

    Jamaa hasomeki, hata marekani wenyewe walishakiri hakuna ajuaye mawazo yake. Nchi za magharibi zipo njia panda kwa sasa, tayari ufaransa katoa ya moyoni, wakati marekani anaenda mbele na kurudi nyuma ila mwisho wa siku x
Back
Top Bottom