Search results

  1. G

    Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  2. G

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Asante sana Kwa ufafanuzi kama Mungu alipanga twende tutaenda Kwa uweza wake 🙏🙏😥
  3. G

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Daah kumbe inshu ipo hivi basi hapa maombi yanahitajika snaa maana watu tulia min hii sehem yakulitumikia jeshi letu kama kweli Mungu alipanga basi tutakwenda Amen🙏🙏
  4. G

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Yaap niliona juzi
  5. G

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Yaah namaanisha polisi kuna ambao tulifanya usahili mwezi wa 10 mwishon mpka leo majina hakuna
  6. G

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Daah kuna wale wa PT wa online naona kama tumekatwa vichwa aisee sielew kabsaa hapa
  7. G

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Hongera sana Mzee kila Uzi ulikuw active kuanzia PT,UT,ZM sasa umeitwa haya kila la kheri
  8. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tupieni lonja ya polisi wazee hasa wale wa online😢😢
  9. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hawa polisi hawaelewek kabsaa
  10. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Shamba linahusika Mzee baba mm nawaachia mji narud bush kupambana na matikiti😂
  11. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Daah nchi ngumu sana hii 😂😂
  12. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tuendelee na kilimo cha matikiti tu Hali sio Hali 😂😂😂
  13. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mzee na ww ulifanya usahili wa fani?
  14. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Duuuh Duuuh hatari sana labda watakuwa na list nyingne tusubr
  15. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mimi mwenyewe nimeshangaa wakat walikuw wanataka watu 350 ila wameita watu 120+ au vigezo??
  16. G

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu naombeni tip ya interview za polisi nimeitwa Dodoma tarehe 30 naombeni maelezo kidogo mnaojua kuanzia maswali na jinsi ya kuvaa (mavazi) nivushe
  17. G

    Walioitwa jeshi la police

    Sidhani maana polisi wamepewa nafasi nyingi za ajira lazima kakamilishe
  18. G

    Walioitwa jeshi la police

    Sio kweli kuna jamaa zangu wapo nimeona majina yao walimalza mafunzo ya Jkt tangu mwaka Jana wakarudi kitaa leo nimeona majina yao ni bahat tu mkuu
Back
Top Bottom