Search results

  1. mrs kigeugeu.

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    tangu alipoanza kutembea na babu zake. mtoto mdogoo ana mambo ya kikubwaaa. sometimez unashindwa hata kukaonea huruma.
  2. mrs kigeugeu.

    Mtoto Linah mashalah

    mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,mhhhh.kama ndio hivi hata mm mashalah.
  3. mrs kigeugeu.

    Utafanya nini ukiwa replaced kwa namna hii?

    Wana JF, naombeni msaada hapa , nilikua na uguliwa na mume wangu ambaye alikua in a very critical condition, nikaomba likizo ya siku 28 kazini nikapewa, siku zilivoisha nikaenda kazini, kufika nikakuta kunatangazo la post yangu,yani anatafutwa mtu wa kufanya kazi za pozishen ambayo mimi ndio...
  4. mrs kigeugeu.

    Kwanini wazee bado wananufaika Schoolarship?

    he wewe, we utakua moja kati ya hao wazee wanao jitwaalia hizo schlshp, hebu mtaje hata kijana mmoja unaehisi kridhika na elim yake? watu tuna taabika, achilia mbali hizo za nje hata kupata elimu za juu humu ndani ni utata, leo wasema tumeridhika ?ebo.... :A S 112:
  5. mrs kigeugeu.

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    ↲hahaaa. Haijalishi.
  6. mrs kigeugeu.

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Mhh. Interestin, sos, same problem here, sema tu sisi hatujafika huko kwa kutafuta watoto wanje. Help please.
  7. mrs kigeugeu.

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Wana JF. Binafsi nnatatizo la luwashwa mili mzima pindi nnapo toka kuoga. Mara nyingi hunitokea nikioga maji ya baridi, lakini pia sometime hunitokea hata kwa hot water, sijajua tatizo nini ila nshaenda hosp nikapewa dawa lakini hali hajabadilika had sasa. Msaada tafadhali.
  8. mrs kigeugeu.

    Star Times advert most boaring advet ot the year, take it away please

    Nilidhani ni mimi pekee, kwakweli tangazola startimes linatia kichefuchefu, na si hilo tu hata hili la Tigo linalo wahusisha mke na mume ni uozo mtupu.:rant: kwakweli tunaomba yatolewe.
  9. mrs kigeugeu.

    Majib mapyaa ya methaly za kiswahl kwa year 2012

    samaki mmoja akioza tupa nunua dagaa. Mchagua nazi mpishi mzuri.
  10. mrs kigeugeu.

    hello wana jf.

    habari members. Mi ni mgeni wenu. Naomba ushirikiano wenu tafadhali.
Back
Top Bottom