Utafanya nini ukiwa replaced kwa namna hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafanya nini ukiwa replaced kwa namna hii?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mrs kigeugeu., Mar 29, 2012.

 1. mrs kigeugeu.

  mrs kigeugeu. Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF, naombeni msaada hapa , nilikua na uguliwa na mume wangu ambaye alikua in a very critical condition, nikaomba likizo ya siku 28 kazini nikapewa, siku zilivoisha nikaenda kazini, kufika nikakuta kunatangazo la post yangu,yani anatafutwa mtu wa kufanya kazi za pozishen ambayo mimi ndio huwa nafanya. And no one is saying anything to me, pretending kwamba there is nothing going on and tangazo limetolewa just days before likizo yangu haijaisha. wapendwa kama ni wewe what would you do. help please.:confused2:
   
 2. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ...hapo ndo pale matumizi ya msemo wa mbayuwayu yanatakiwa kufanyika...kama wanakureplace kuna matatizo kwenye ufanyaji kazi wako wala sababu si likizo...If you do your job well, its very unlikely kwamba watakureplace...
  a) Chunguza unavyofanya kazi je unachodeliver kinashabihiana na mshahara unaolipwa/ mahitaji ya kampuni?
  b) Kama kweli watakureplace usisikitike, jipange na ukipewa tena nafasi ya kazi do it in such a way that u wont be easily replaced..(principles of job security)
   
 3. F

  Fofader JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Nafikiri hata kama kuna tatizo lolote kikazi una right ya kuambiwa. Kama una tatizo na hawakuelezi kuna tatizo kubwa la HR au menejimenti. On the other hand adha za kuajiriwa ndo hizo. In the future fikiria na wewe kuajiri.
   
 4. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Usibembeleze usikotakiwa
   
Loading...