Search results

  1. Balqior

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Uo ulikuwa ni WA binti flani wa mtaani kwetu, binti alinikataa, mtoto wake wa kwanza akaenda kumzalia mume wa mtu, kuna picha juzi nliziona mtandaoni ndo nkazileta tena huu uzi GenuineMan
  2. Balqior

    Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Ulimuoa wa chuo kwasababu wa chuo alikuwa mzuri kuliko huyo wa mtaani 🤔 Kazanazo
  3. Balqior

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Sidhani kama ni demu ambae kila mtu alikuwa anajipigia, maana ni mgahawa wa kijijini unaouza chai na msosi tu, hauuzi pombe, halafu ndo alikuwa ana miezi michache toka amemaliza form 4 mwaka 2022, ila alikuwa amefeli Ivan Stepanov
  4. Balqior

    Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

    Hahahaaaahaaaahaaa Extrovert
  5. Balqior

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Halafu wewe jamaa ni mganga nini, umejuaje iyo pisi ninayoongelea ina makalio, aloo ni binti wa 2000, akipita mtaani, mtaa unasimama, ana chuchu saa sita, kiuno nyigu, anajambia mbali, yani ana lile kalio ambalo ukimwangalia kwa nyuma lina shepu iliyochora alama ya love ❤️ Alikuwa anasaidia...
  6. Balqior

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Acha utani😂 sio kwamba najiona/najisifia/nina kiburi, ila naamini kuna vijana hapo mtaani hata wewe ukiwaona walivyo, matendo yao, wanavovaa etc utajiona bora wewe. Sasa mtu anaeshinda baa na kijiweni the whole day, mchafu mchafu, kazi kula mirungi, bangi, na pombe kali, huyo mtu ni bora...
  7. Balqior

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Mwanaume bodaboda nae ana haki ya kupendwa, mfano pale mtaani kwetu kuna baadhi ya vijana wa bodaboda kwa jinsi wanavojiweka kistaarabu na kiheshima, kama mimi ni baba na nina binti, wakija kutoa posa nitawapa binti yangu kiroho safi, maana najua mwanangu atakuwa kwenye mikono salama. Sasa...
  8. Balqior

    Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako. Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au...
  9. Balqior

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Eti Mzee wa kupambania
  10. Balqior

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Kuna kitabu kiliandikwa na mdada wa marekani anaitwa Baje Fletcher, hicho kitabu kinaitwa "Goaldigger's guide how to get what you want from men without giving it up" kwenye hicho kitabu alifundisha wadada njia za kupata pesa toka kwa mwanaume usiempenda bila kutoa papuchi , hii factor inapinga...
  11. Balqior

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Tunavolalamika kuwa wanawake mnapenda sana pesa, sio kwamba sisi wanaume hatutaki kuwapa wanawake wetu pesa, au tunataka kukimbia majukumu. Tunapenda sana kuwapa hela. Ishu ni kwamba kibinadamu, mwanaume ukijua mwanamke uliye naye yuko na wewe kwenye mahusiano kwasababu una pesa, na sio...
  12. Balqior

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Wanawake inatakiwa watupendee muonekano, ndo mahusiano yatanoga Jadda
  13. Balqior

    Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

    Hata mwanaume aliekuvutia kimapenzi na unampenda, utamuomba elf 3? princess ariana
  14. Balqior

    Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

    Naona sababu zinazomkumba huyo jamaa yako ni hizi, anakutana na wadada chuma ulete wanaomuomba sana hela hivyo anaamua kukimbia, au anatongoza halafu anakua kama amekubaliwa, ila papuchi hapewi Mwizukulu mgikuru
  15. Balqior

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Tatizo wanaume wenye nia ya kukuoa wewe huwapendi Mzigua90
  16. Balqior

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Huyo shangazi unaesema hakua na bahati ya kupata wanaume, si kweli, ni kwamba alikuwa anawakataa wanaume waliokuwa na nia ya kumuoa The mission 2017
  17. Balqior

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Wewe ni mtu wa tatu kusema Ivo, Sijajua kwanini inakuaga ivyo, mwanaume kwenye miaka 18-23 unapata pisi zinazokupenda kweli, juu ya hapo, miaka 25-hadi uzee kupata demu anaekupenda ni ngumu, sijui wanaume tukifika miaka 25,26,27,28 tunazeeka kimuonekano Vishu Mtata
  18. Balqior

    Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

    Mzabazab apewe tenda kwenye hayo magereza ya wanawake
  19. Balqior

    Naombeni mwaliko wa kesho

    Nikiwa hapa gheto namsubiria unique flower aje
Back
Top Bottom