Search results

  1. kilaboy

    Amber Rutty ni mwanamke jasiri (Bravely Woman) kuwahi kutokea

    Hakika kila mmoja ana yake aliyowahi kuyafanya sirini au anaendelea kuyafanya sirini. Binadamu tukifanikiwa katika jambo moja la kusitiriana, basi tutaishi maisha matamu sana
  2. kilaboy

    Je, iwapo Spika ni Mbunge ni wakati gani anakula kiapo cha Ubunge mbele ya Bunge?

    kwa mujibu wa kanuni za bunge. Mara baada ya uchaguzi wa spika, basi katibu wa bunge ndiye anayemwapisha Spika .
  3. kilaboy

    Azam king'amuzi wanaamini Watanzania ni wajinga

    Hawa jamaa ni matapeli kweli ase. au niseme ninwezi wanaotumia akili nyingi.
  4. kilaboy

    Tatizo la kusinyaa kwa mapesheni

    Mkuu habari, vp ulifanikwa kupata jibu la swali lako? Na je unafanya kilimo cha Passion? Maana mimi nataka nianze kulima ila nataka nipate uzoefu
  5. kilaboy

    Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

    Mkuu habari. Nimesoma uzi wako hadi nikakuonea huruma. Ipo hivi, kwanza unatakiwa kupata password yake ya fb. Baada ya hapo unaingia kwenye account yake kupitia simu yako, na ukishaingia mara moja tu basi mchezo utakua umekwisha, maana utakua huna haja tena ya kushika simu yake. Na hapo muda...
  6. kilaboy

    Juhudi zangu za kuacha uzinifu zilipofika hadi sasa

    Hongera sana kiongozi, maana umeamua vyema sana na ninakumbea mafanikio katika hatua hiyo.
  7. kilaboy

    Hanger za nguo za watoto

    Habari zenu wana jamvi wenzangu. Tafadhali nina uhitaji wa hanger kwa ajili ya nguo za watoto. Kwa yeyote mwenye kujua chimbo kwa Dar tafadhali nifahamishe na ikiwezekana niunganishe na mhusika. Mimi nipo Tanga. Natanguliza shukrani.
  8. kilaboy

    Wajuzi wa Mapishi nisaidieni Haya ndio maviungo gani!

    Hayo ni kwa ajili ya good aroma kwenye chakula. Yaweza kua majani ya mchungwa/mlimao/mdalisini n.k
  9. kilaboy

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Mkuu hongera sana na ahsante kwakutuhamasisha. Ila mkuu nahitaji kujua naweza kuanza na eneo la ukubwa gani na pia umbali kati ya mpapai hadi mpapai ni kiasi gani? Natanguliza shukrani kiongozi
  10. kilaboy

    Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

    Mkuu jaribu hii kitu naamini itakusaidia sana. Chukua Ngogwe za kienyeji 6 zikate katikati ili kupata vipande 12, changanya na maji vikombe viwili kisha chemsha bila ya kuweka kitu chochote kwa muda wa dakika 10 bila kufunika. Kula vipande vyote 12 ukishushia na supu yake, vyote vikiwa vya moto...
  11. kilaboy

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Kwa kweli jina lako linasadifu akili yako, yaani ukishakua team flan basi weye akili yako muda wote inawaza hovyo hovyo, kwa naana ya kua akili yako inakua haiko huru bali ipo kiteam. Mkuu kumbuka waliofanya tukio hili walikua katika hali gani, na embu jaribu kuvaa viatu vyake. Sent using...
  12. kilaboy

    Jeshi la Polisi, Tundu Lissu anawatumia ujumbe; msimpuuze

    Hizi ni porojo au ndoto za mchana, Maana mipango kama ile ni kweli hufanyika ila kwa namna Lisu alivyoshambuliwa ndugu embu tafakari tena andiko lako. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kilaboy

    Dafu + Ndimu tiba ya UTI?

    Hii ni hakika ase Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kilaboy

    Dafu + Ndimu tiba ya UTI?

    Waungwana naleta mrejesho kua madafu + ndimu ni tiba ya UTI. PROVED Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kilaboy

    Mada maalum kwa wanandoa

    Mkuu mtu kama hana upendo, hawezi kua na uvumilivu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom