dah nimekimbia fasta kweny list nione tuko wangap dah aibu hatupo nawaona Kenya wakati kila siku nasikia tutawauzia umeme na gesi kwan ss tunashida gan
Hahaha dah wameambiwa wakatumie force account mafundi wanajiamulia tu ili wamalize kazi kwa garama ndogo kumbe wanatengeneza mabom yatatulipukia tu hayo
hii nchi hataufany nn wapigaji wanakuja na mbinu mpya kila kukicha wazipige hela
Dah watu wanadanganyika na porn bila kujua ni edited na wanatumia madawa.
Nachojua utamu wakuchakata ni kupiga bao kwa mwanaume kukaa sana ni kujichelewesha utam kisa kuonekana kidume
Kuchakatana ni zaidi ya ingiza toa
naona tatiz lipo kweny uwasilishaji tu wawatu ila ukiangalia hp sio kama watu/ wawekezaji hawaijue tanzania na vivutio tatz bado tulikuwa tunapata watali wachache kwahy wawekezaji wanajua wakiwekeza itakua hasara kwao, kwahy kwa ss wamesha jua tumeamua kuongeza nguvu kweny utali kimoja ni hy...
Tunaomba ushuhuda kwa ss je umepona kuna mahubiri nilisikia watu wanapona huu ugojwa
Tunasubiri chanjo ya huu ugojwa 2023 sio mbali wazee wakutoa mipira katika yamechi wajiachie
Hivi ukiwa nao chajo haifanyi kazi tena au inakuaje wataalam
Dah pole sn mdada na unaujasili sn ila ingekua mm siku...
Ngoja umri uende utajua vijana ndio wanashughuli kitandani na wako romantic kuliko uliokua nao saizi moja hata kwa wababa unakuta anatembea na mtoto mdogo zaidi ya mjukuu wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.