Search results

  1. A

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Nikweli Kuna kitu hapo sawasawa.
  2. A

    Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

    🙄🙄🙄🙄🙄
  3. A

    Kwanini Mungu hupiganiwa na kutetewa wanadamu zaidi kuliko mwenyewe?

    Kama dini na waumini wanaamini Mungu ndio mwanzo na mwisho Mungu hana mpinzani...... Mungu anauweza kufanya lolote muda wowote kwa mtu yeyote Maana yake wanaojifanya mbele mbele kumpigania Mungu.... wapumbavu, wajinga na vilaza. Yaani eti binadam anajifanya kumpigania na kumtetea Mungu...
  4. A

    Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

    Mpaka muda huu sijapata wakunitongoza....... Inabidi nisepe nazawadi yangu wallah, wadada mnakwama wapi? 😄
  5. A

    Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

    Atakaye nitongoza Leo zawadi nono .... narudia zawadi nono
  6. A

    Kikosi cha Yanga kikiwa hivi unatabiri nini Kimataifa?

    Mimi mshabiki wa Yanga Kwanini timu imekuwa ya wageni kwa 95% Inamaana wazawa hatuna uwezo kabisa? Tunauwa vipaji vya wazawa
  7. A

    Wadada wengi wanaouza mihogo mibichi mitaani wanatongozeka kirahisi sana

    Nature inanafasi yake ..... male & female
  8. A

    Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Samaki hukunjwa angalia mbichi, ukisumbuka na wakavu hutafanikiwa mpaka siku ya mwisho.
  9. A

    Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Wame tengeneza barua halisi inayokidhi matakwa ya katiba kuepuka kudhalilika Maana katiba ipo wazi kabisa.
  10. A

    ACT Wazalendo kinatumika kuwaondoa wananchi kwenye hitaji la katiba mpya

    Tatizo nikupinga mambo ya msingi bila kuelewa uzito wake. Wewe uliwahi kuridhika na chakula ulichokula jana? Au ungependa kuboresha kadri siku zikienda? Umewahi kuridhika na mafanikio yako na kubweteka bila kuhitaji kuboresha kadri siku zinavoenda. Au kujenga nyumba bora ya wakati au kununua...
  11. A

    ACT Wazalendo kinatumika kuwaondoa wananchi kwenye hitaji la katiba mpya

    Mawazo ya kijinga Unataka kukuambia 1. sheria, kanuni na Taratibu hazina umuhimu? Yaani mahakama haina maana? 2. Unataka kutuambia serikali haina maana kuwepo? 3. Unataka kutuambia bunge halina maana kuwepo? Maana kuwepo kwa judiciary, executive na parliament nikwa mujibu wa katiba. Acha...
  12. A

    ACT Wazalendo kinatumika kuwaondoa wananchi kwenye hitaji la katiba mpya

    Suala la katiba haliwezi kuwa la Cdm pekee nikwa watanzania wote 1. Haki kwa kila mtanzania 2. Maendeleo kwa kila mtanzania 3. Afya kwa kila mtanzania 4. Elimu kwa kila mtanzania Hayo mambo ma nne yatakuwa bora, kamilifu na thabiti tukiwa na Katiba bora imara na kamilifu. Tumehuru...
  13. A

    ACT Wazalendo kinatumika kuwaondoa wananchi kwenye hitaji la katiba mpya

    ACT Tanganyika wasipokuwa makini wataikosa ACT visiwani (cuf Maalim Self) Kinachofanywa na Act Tanganyika nikusaidia ccm, kudhoofisha upinzani jambo ambalo sidhani Act viwani wanaliafiki. Inawezekana wakawa wapo pamoja lakini muda nimwalimu Mzuri sana
Back
Top Bottom