Search results

  1. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Mtoto halali na hela inawezekana uaminifu hapa ni F
  2. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    PetroQuavo sometimes ukata unafanya watu wengi wafanye mambo nusu nusu, but I hope they could have spent some time in security. Website development is not something kila mtu anaweza akafanya to the fullest, achilia mbali plagiarism kwenye code we still have something to learn
  3. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Holly Star inawezekana wamiliki halisi wa code wamemgeukia
  4. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Kunguru wa Manzese kuna misunderstanding sehemu sijui umeelewaje
  5. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    marxlups nadhani ungerudia kuusoma uzi huu ungeelewa haraka mno. It's a wake up call hili jambo litakuja kuwa serious in the days to come, nyuzi kama hizi zilianza kushika kasi kipindi cha nyuma kidogo. Kama sikosei kuna mmoja aliitua nyuzi moja akiwalaumu vijana wa UDOM kuwa na nywila dhaifu...
  6. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Mirlz B Matthew Sijajua tatizo ni nini, it 's better ukostike kulipia full package ya website development ili uishi kwa amani otherwise utapata stress
  7. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Mbaya zaidi shule nayo ilikuwa inatangaza tangazo la kufanya admission kwa wanafunzi wa kidato cha nne, cha tano na wengineo . Too pathetic
  8. Diff C9

    Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Habari zenu wanajukwaa na ma great thinker wa JF. Matumaini yangu ni kwamba tunaendelea salama, kwa waliopatwa na matatizo nawaombea kwa m/Mungu awasaidie. Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, imekuwa jambo la kawakda kwa tovuti nyingi za kibongo kutokuwa na structure, organization...
  9. Diff C9

    Huyu ndiye aliyeleta corona?

    Unajua contribution ya comment yake juu ya crypto currency ilivyofanya Elon Musk apoteze hisa??
  10. Diff C9

    Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

    🛌🛀🏄🏂⛷️🏇🧘🤹
  11. Diff C9

    Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Karma is real
  12. Diff C9

    Stress za Muziki na Gossipel za Nandy fursa kwa Zuchu

    Kiukweli mimi namuheshimu sana mtu ambaye ameamua kusimama mbele ya watu na kutumia kipaji/ talanta aliyopewa na m/Mungu kujipatia pesa. No matter show slowly the guy is advancing, never stand a foot to speak stupid things on them 😎
  13. Diff C9

    'Maajabu! Meli yapigwa picha ikiwa 'angani' pwani ya Uingereza

    Hii ni normal physics phenomena, kama ukizijua concepts muhimu za Light Part 1 na Part 2 katika kitabu cha Oxford you are most likely to understand Hata wale ambao wamesoma vitabu madhubuti vya physics hasa katika topic ya Light this seems something very normal.
  14. Diff C9

    Vibaka/wahuni wa Arusha sio poa

    Next time wataishia kwenye mikono mibaya, wizi na uporaji sio mambo ya kushadadia ukikumbwa unajiona mjinga wa mwisho na bwege 😂😂
  15. Diff C9

    Kwa mtindo huu halotel siyo mtandao unaomsaidia masikini tena

    Wakiendelea hivi sio mda itabidi tuhamie kwengineko. Halotel ilianza vizuri ila kila siku zinaposogea shutuma nzito zinawaangukia kama. 1.Kupuliza mb za wateja kwa kasi ya ajabu 2. Mtandao kushika kwa kwi kwi yaani unaweza kutumia 12kb/s inapanda hadi 80kb/s na ndo mwisho. Sasa hapo unafanya...
  16. Diff C9

    Nini shida inayopelekea watanzania hatuweki movie NETFLIX?

    Bongo ujinga mwingi script unaandika kwa saa 4 tu, hamna cha maana kabisa zaidi "baada ya Juma kumuona amina baa na Sadiki aliwasogelea wakati huo huo akatoa postol yake aloitunza kiunoni mwake, "siamini unanifanyia hivi Amina(Juma anaanza kulia)" "Hee ilitaka nifanyeje sasa ? (ki soundtrack...
  17. Diff C9

    Watanzania kwanini tunapenda waimbaji wa kiume wenye sauti za kike?

    Jazia nyama kapitie huko ulikoanzia urudi na full-detailed post labda nitaweza kuelewa
Back
Top Bottom