Search results

  1. Ryaro ryaro

    Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Hii Mimwanamke kwanza inadharau sana hata hakuna sababu ya kuwaonea huruma..
  2. Ryaro ryaro

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Chuki zako za Kidini (mazayuni) unadhani zitakusaidia we bibi kizee. Sio wewe tu ulifuatilia wenye uelewa mpana tunajua what happed and who will the loser at the end of the day...
  3. Ryaro ryaro

    Kwa taarifa yako Wanaume wa Kanda maalum ni zaidi ya wale wa Songea!

    Tafuta Pesa Broo hii mada yako Haina Uhalisia wala Haiwezekani Kuiprove in any case...
  4. Ryaro ryaro

    FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    You must be Joking, Azam kwa Kikosi Kipi na Kwa marekebisho yapi wameyafanya toka Yanga icheze nae Tanga. Azam kwa Yanga ni kama mwembe wa uhani or kama kumsukuma mlevi wa K-Vat. Azam ni kiboko ya Simba kwa Yangu Hawafui dafu..
  5. Ryaro ryaro

    Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

    Ni aibu, Sudan kupereka majeshi kumsaidia Palestina, Si hawa hawa ndio bado wanachinjana na Janjaweed wao kwa wao. sasa uwezo wa kumsaidia mjahidine or mfia dini Mwenzao wameupata wapi. Tuwaache wafu wazikane.
  6. Ryaro ryaro

    Ushindi wa kishindo wa CCM Mbarali, ni fursa kwa upinzani kuwa mguu sawa

    Daaah!!! CCM Kwenye Chaguzi ni Mungu tu anaweza Jeuri Yao..
  7. Ryaro ryaro

    Nape unapata wapi jeuri ya kuwapangia Watanzania cha kupenda?

    NYIE-means watanzania sisi wajinga tunaowaruhusu Kututawala wakati tunajua uwezo wenu ni mdogo...
  8. Ryaro ryaro

    Kurudisha kadi za CCM ni jambo la heri

    Ndugu yangu kama unajidanganya ya kwamba CCM watakuja kukupatiia katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi, basi Sahau kama mimi na wewe tulivyolisahau TITI la Mamazetu. Majaliwa yetu, na ili Kujinasua toka makucha ya CCM lazima tulipe gharama. So ni Swala la kujiandaa Kimwili and more important...
  9. Ryaro ryaro

    Ney wa Mitego asitelekezwe. Ndugu wapambanaji kulikoni?

    Wewe ambaye Hautumiki una faida gani tofauti na Kulamba Makalio ya Vichangudoa
  10. Ryaro ryaro

    Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Serikalini Hapana msamihati wa time management, muhimu ni kufika ofisini hata ukifika saa saba mchana( Irresponsible government)/Shamba la bibi ni mwendo wa Kujilia tu..
  11. Ryaro ryaro

    Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

    Banana republiques.. a failed State due to poor leadership "United Arab Emirates" Waarabu Watatumaliza hadi akili Zitu-rudi tutakuwa tumebaki na Makaburi tu.
  12. Ryaro ryaro

    Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

    A failure and corrupted politician at his best
  13. Ryaro ryaro

    Ni janga na aibu kwa taifa kuwa na vijana aina ya Mdude Nyagali

    Mbona Unaandika Mafyongo... Hacha Kumdharau MDUDE kwa maana ameonyesha kutimiza wajibu wake. Je wewe usiyefahamika unalisaidiaje Taifa?. Tofauti na UCHAWA
  14. Ryaro ryaro

    Ni janga na aibu kwa taifa kuwa na vijana aina ya Mdude Nyagali

    Tafuta opportunity kama Chawa wenzako ambao Wakiinua midomu tu Uwaziriiii..Paaaa ( Nadhani yule Professor wa Singida Unaona Kapewa ulaji Kanyamaza kimyaaa, Pia huyu Mbunge wa Jimbo la kitunda pia juzi Kalamba. So do you thing is your time . Basi Pambana na wewe Upate , CHAWA weeeee...
  15. Ryaro ryaro

    Watoto wa masikini kutwa wanabishana kuhusu mpira, wasanii na mapenzi. Umasikini ni laana

    Daaah!, Kiongozi andiko lako Kama lina Ka-ukweli vile !!! Watoto wa Masikini Chukueni Hatua, it will be too late kama Mtaona mmedharauliwa ....
  16. Ryaro ryaro

    Did Albert Einstein think that he was a better mathematician than Sir Issac Newton?

    Nilichojifunza kutoka andiko lako ni kwamba. Mara zote mtu kama una kitu ambacho wengine hawana (ujuzi,ujuvi na uelewa wa mambo kama hayo) basi usijisifie Mwenyewe wacha watu waone na waseme wenyewe. Likewise tumia muda wako mwingi kujiona wa kawaida na wengine ndio wakufagilie. Albert Einstein...
  17. Ryaro ryaro

    Serikali iko wapi? Wananchi wanaibiwa kila kona

    Watanzania Msisahau Kitendo Hichi Kinaitwa KUCHAKACHUA, Very famous word enzi za utawala Ule.
  18. Ryaro ryaro

    Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Unanipotezea muda tu wewe, Ebu endelea Kujidanganya na wanaokudanganya eti World Vision Inalipa Vizuri.Possibly for you guy, a fresh from school..
Back
Top Bottom