Search results

  1. shetrish

    Nahitaji gari ya mkataba kutumia kwenye uber/bolt kwa makubaliano nitayokubaliana na mwenye gari

    Habari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana mahesabu kulingana na projection zake. Asante
  2. shetrish

    Naombeni msaada wa mtu yeyote mwenye verified account ya Airbnb

    Habar wana jf, naomba kama kuna mtu ana account ya airbnb iliyo active na anaitumia anifahamishe, nahitaji kufahamu mambo kadhaa Shukrani
  3. shetrish

    Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

    Hello wana JF, Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi? Maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu...
  4. shetrish

    Msaada: Nimepata dharura nahitaji Mkopo wa milion mbili, nitarudisha baada ya mwezi mmoja kwa riba ya 20%

    Husika na kichwa cha habari. Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa haraka, nitakupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo Kigamboni, nimekwama jamani, anayefahamu mtu au taasisi kindly PM. Asanteni
Back
Top Bottom