Search results

  1. S

    Ufisadi mwingine huu

    Mmiliki wa machinjio ya nyama Vingunguti anayechinja zaidi ya ng'ombe 500 kwa siku ambaye anatoza sh4300 kwa kila ng'ombe na mgawanyo uko kama hivi: 1500 ya mmiliki, 300 ya mchinjaji na 2500 kwa mkusanya hela wa halimashauri. Kwa hesabu za haraka mfanyakazi wa halimashauri anapokea kiasi cha...
  2. S

    Abiria wa Mwenge Posta

    Ukifika kituoni Mwenge hususani wakati wa asubuhi yanapokuja mabasi ya kwenda Posta unaona jinsi watu wanavyo kimbilia ili kupata nafasi za kukaa. Cha kushangaza zaidi ni wale abiria wanaokuwa wa kwanza kugombania siti alafu anashuka Bamaga, Sayansi, Makumbusho, Victoria na wengine hata ITV...
  3. S

    Nimeikuta kwenye Facebook hii..

    Status 1 ikiwa ndefu hawasomagi, ila mtu huyo huyo atasoma fupi fupi mia!: Mnisamehe kama ntakuwa mkali kidogo, ni hivi, kama kilicho ndani ya nyumba thamani yake haifiki laki, nawe una milango miwili, huwezi enda nunua kufuli mbili za laki laki. Kimantiki, gharama ya ulinzi (laki mbili za...
  4. S

    Tutafika kwa namna hii kweli?

    Hii ni timu ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kimchezo wa soka nchini. mechi zake ni moja ya mechi zenye mapato makubwa kutokana na viingilio. ni timu ambayo inapata hela nyingi sana kutokana na mikataba ya usajili kutoka katika makampuni makubwa nchini. Lakini hii timu na ile nyingine ya...
  5. S

    Taifa Letu hili..embu ona

    Kichwa kimeanza choka, ebu niwaze Taifa... 1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela. 2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma. 3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga ikukopeshe. 4. Taifa ambalo ukifeli unakuwa mtangazaji wa kipindi maalumu kabisa...
  6. S

    Tahadhari wakazi wa Mbezi Beach

    Wakazi wa Mbezi Beach chukueni tahadhari kutokana na ujambazi kuanza tena. Hivi karibuni kumekuwa na matukio mawili tayari maeneo ya Mbezi Beach Makonde ambapo duka limevamiwa na jamaa kupiga hela na kukombia na pikipiki. Wale wa kutembea na kurudi majumbani kwao usiku wa manane pia wawe...
  7. S

    Kwa hali hii ajali zitapungua?

    Huyu ni mmoja kati ya vijana wanajishughulisha na saana za muziki wa kizazi kipya, bongo movie na pia ni bloga. Hii picha ni yake akiwa anaendesha gari kwa spidi ya 180 na kapiga picha kisha akaweka kwenye mitandao ya kijamii kwa kujipongeza. Kuna akili kweli kichwani? Hawa ndio wanataka kuwa...
  8. S

    Mwai Kibaki road aibu

    Raisi Kikwete wakati ana badili jina barabara ya Old Bagamoyo kuwa Mwai Kibaki sherehe ilifanyika morocco na kumalizikia hapo hapo. Lakini sasa hiyo barabara haifai. Maeneo ya TMJ hospital ni kero. Barabara ni mbovu mno na ni aibu kwa kweli. Foleni kubwa inasababishwa na kipande hicho. Mashimo...
  9. S

    Hii sasa kali..Vodacom Tanzania waja na #BongoShake

    Mkurugenzi wa Vodacom Rena Meza na Kelvin Twisa wafanya video ya Harlem shake.Bofya link hii Vodacom Tanzania - Harlem Shake - YouTube heheheHawa jamaa noma!
  10. S

    Magari ya STK

    Kumbe ndo mchezo wao sio...
  11. S

    Issa Michuzi na Fred Maro

    Naomba kuuliza wana jf. Nani kati ya hawa ndio mpiga picha wa raisi na shughuli za ikulu? Maana kila aendapo raisi michuzi yupo wakati katika picha zote linatokea jina la bwana Fred Maro. Au bwana michuzi yeye anagharamia safari yake mwenyewe? Asanteni.
  12. S

    CCM vs CHADEMA

    Hizi picha ni Dodoma kati ya wana Chadema na CCM. Kweli hawa watu ni wazima kweli? Kuna Mbunge hapo Rage naye kama mtoto!
  13. S

    Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

    Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100. Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji! Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia...
  14. S

    Hii imekaa vipi, Zambia imemind treni za Mwakyembe

    Wizara ya Mwakyembe haikuwashauri Tazara kuhusu utumizi wa treni pamoja na reli yao. Upande wa Zambia wanadai kuwa kutopewa taarifa kuhusu mradi ni kosa. Tazara inamilikiwa na nchi mbili hivyo mazungumzo yalikuwa na ulazimu. Wizara imetumia milioni 800 kukarabati vichwa vya treni za...
  15. S

    TTB ya kosoa Qatar

    TTB yatumia mitandao ya kijamii kukosa taarifa zisizo sahihi za Qatar Airways
  16. S

    Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Bw. Clement Mshana.

    Huyu jamaa naona ni bora tuu aache kazi. Shirika haliwezi kabisa! leo asubuhi ni aibu tupu, jana usiku ni aibu tupu! Watangazaji wakati wa habari wanapata shida sana na ni aibu. kila kukicha tatizo ni yale yale. Mitambo hvyo tuu. Naangalia TBC sabubu sina kituo kingine naweza pata habari za...
  17. S

    Television ya Taifa or TBC1

    Kwa kweli ni aibu sana kuwa na tv ya taifa tena kwenye satelite ya kimataifa kama Dstv na kuwa kituko. Kila kukicha ni mauozo tuu. mara mitambo haitoi sauti mara kelele za watu wengine wana sikika kwenye kipindi tofauti. uimara wa muonekano ni hovyo kabisa. Hivi ndugu zangu watz,ni halali kabisa...
  18. S

    Wamasai jijini dar

    Wamasai ni watanzania wenzetu na wanaotambulika ulimwenguni kuliko kabila lolote lile la kitanzania kutokana na utamaduni wao kuanzia jinsi wanavyoishi hadi mavazi yao. Tatizo langu linakuja pale wale ndugu zetu wa kimasai wanapotoka na kuja mjini. leo nimepanda daladala ambalo ni usafiri wa...
  19. S

    Masai mjini

    Wamasai ni watanzania wenzetu na wanaotambulika ulimwenguni kuliko kabila lolote lile la kitanzania kutokana na utamaduni wao kuanzia jinsi wanavyoishi hadi mavazi yao. Tatizo langu linakuja pale wale ndugu zetu wa kimasai wanapotoka na kuja mjini. leo nimepanda daladala ambalo ni usafiri wa...
  20. S

    Sports Extra ya Clouds Fm

    Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata muda wa kupanga nini wakiongelee ndanin ya kipindi? yani wana ruka toka hapa kwenda kule.
Back
Top Bottom