Tahadhari wakazi wa Mbezi Beach

supermario

Member
Dec 2, 2011
48
15
Wakazi wa Mbezi Beach chukueni tahadhari kutokana na ujambazi kuanza tena. Hivi karibuni kumekuwa na matukio mawili tayari maeneo ya Mbezi Beach Makonde ambapo duka limevamiwa na jamaa kupiga hela na kukombia na pikipiki.

Wale wa kutembea na kurudi majumbani kwao usiku wa manane pia wawe waanagalifu mno maana wakianza huwa wanapiga sehemu mbali mbali.

Sambaza ujumbe kwa jirani yako!
 
Asante kwa taarifa.

Tatizo la ajira nalo linachangia na ukosefu wa Elimu ya kutosha. Ukipata kazi Serikali wanakungeza mshahara Tshs. 1,900/=


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom