Search results

  1. B

    Showdown in little Tokyo

    Wadau na wakubwa zangu heshima kwenu... Wangapi wanaokumbuka hii product ya kimafia.filamu ya ubabe ,unyama mwanzo mwisho. Nani anamkumbuka mbabe yule GAry hiroyuki tagawa nyamera la mayakuza ,Dolph Lundgren enzi zake akiwa chalii tu miaka hiyo ya 90s....dogo wa bruce lee ,,brandon lee yule...
  2. B

    Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

    Binafsi namkubali sana huyu mama. Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo unaweza angalia hata na familia yako. Nyimbo zake zinatuliza nafsi, zinaponyesha maumivu ya moyo kwa...
  3. B

    Ikitokea mtu amekataa wito wa Rais kwenda Ikulu atachukuliwa hatua gani?

    Niende kwenye swali direct. Hivi mfano mtu mwenye ushawishi kwenye jamii mfano staa, mwimbaji n.k akaitwa na rais ikulu akagoma kwenda, je ni hatua gani stahiki za kisheria zitafuata dhidi yake kukataa wito wa mkuu wa nchi? Naomba kuwasilisha.
  4. B

    Tuliosoma bachelor Bachelor of Arts in Geography and Environmental Studies

    Wadau kwema, Je, tuliosoma Hii kitu tunaweza kuajiriwa sehemu au taasisi zipi za serikali au binafsi? Mtakuwa mmenisaidia sana kwa kweli.[emoji120]
  5. B

    "Tafuta hela pisi kali zipo tu zitakutafuta zenyewe" Msemo unaotuponza vijana wengi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza... Kwamba dunia inatufundisha (hususan kwenye jamii ya kitanzania) ili ukubalike na wanawake wazuri(pisi kali) lazima uwe na mavumba aka shekeli. Mentality Hii inaweza kuwa kweli au isiwe kweli kutokana na mtazamo wa mtu mmoja mmoja. Kwa upande wangu mbona...
  6. B

    Kwa tulioangalia mfululizo wa filamu ya SAW

    Huyu jamaa aliyetengeneza Hii filamu nikiri kamwe hatokuja kutengeneza filamu nyingine tena kama Hii. Kuna GENTLEMAN humo anaitwa john krammer nilimvulia kofia. Kwanza filamu kiujumla inmhusu mhusika a sadistic serial killer ambaye anaua victims wake systematically bila yeye kuhusika moja kwa...
  7. B

    The Exorcism of Emily Rose (2005 film)

    Huyu mdada aliigiza uhalisia hadi kero. Ila Hii filamu pamoja na nyingine ya the exorcist ya miaka ya 70 zimenifunza mengi.kwa yeyote aliyeziangalia hizi filamu nikiri haukupoteza muda wako.
  8. B

    Ukisoma hiki between the lines utanishukuru sana baadaye.

    Hiki kitabu ni challenging and very disturbing lakini kinaelezea mambo mazito ambayo sisi wachache tunaosoma tunaelewa... Karibuni waungwana
  9. B

    Hii mbinu inafaa au nitakuwa nimezingua na mimi?

    Wadau, kwema? Ipo hivi, huku mtaani kwa nafasi yangu natumia kila njia nayoiona inafaa ili kuwa boost watu wakapige kura haswa kwa mheshimiwa TAL. Ila kinachomkatisha bi mkubwa wangu tamaa ni kwamba 2015 alimpa EL ila hakushinda (bao la mkono). Sasa amekata tamaa kasema bora aipe Mbogamboga FC...
Back
Top Bottom