Ukisoma hiki between the lines utanishukuru sana baadaye.

Ukisoma hiki between the lines utanishukuru sana baadaye.

Kinahusu mind control... Ni jinsi gani watu tunaendeshwa na mifumo pasipo sisi kujua...
Haya mambo yapo tu hata hapa hapa Bongo mbona. Ubongo unatabia ukisikia au kuona kitu mara kwa mara unaamini ndicho kizuri. Hii imekuwa ikifanyika kwenye kila kitu kucontrol bonadamu, kuanzia mziki, politics, fashion trend, n.k.
 
Hiki kitabu ni challenging and very disturbing lakini kinaelezea mambo mazito ambayo sisi wachache tunaosoma tunaelewa... Karibuni waungwanaView attachment 1608852
Mzee naona hiki kitabu na wewe unatufanyia mind control methods. Yaani kimejaa ukatiri wa kutisha.

Hata hivyo nimejifunza kitu. Kumbe Duniani hakuna Mungu tunadanganyana tu. Huu uchafu hawezi kufanyika sehemu ambapo Mungu yupo.
 
Hapana mkuu ... Sio kuwafanyia mind control... Hata mwandishi mwenyewe katoa warning hapo kwenye preface[emoji16].. japo kuna ukweli mchungu sana ila ndio hivyo raha ya kusoma vitabu
 
Hata hivyo nimejifunza kitu. Kumbe Duniani hakuna Mungu tunadanganyana tu.
Mkuu wewe msomaji umetoka na hitimisho hilo wakati Muandishi wa kitabu anasema :-

"my brother, John; and my dad, John, who is up there in heaven cheering me on."
 
Mkuu tupe japo maelezo machache,kumbukabwewe ndo umeshauri baada ya kuvutiwa na maudhui yake,sasa tupe dondoo kadhaa ili kutuvutia zaidi na zaidi
 
Back
Top Bottom