Search results

  1. F

    Naipenda sana Yanga, lakini South Mhm!!

    Ukweli ni kwamba,marumo japo inakaribia kushuka daraja lakini uwezo wa wachezaji wake ni mkubwa kuliko timu yangu ya yanga na sijui tutafanyaje kuwazuia wasitufunge.tutatolewa tu
  2. F

    Watanzania someni rasimu ya elimu kwa makini

    Watanzania serikali imetoa rasimu ya sera ya elimu, ili kila mmoja wetu atoe maoni yake, sasa badala ya kuisoma tunakimbilia kutoa lawama lukuki. Hiyo ni rasimu imetolewa ili kila mmoja atoe maoni sasa tutoe maoni yetu tunatakaje, nasoma maoni ya wengi ni kulaumu tu, hiyo sio sawa.
  3. F

    Mrisho mpoto acha kuharibu kiswahili

    Leo bendi yako ilikuwa inaburudisha kwenye sherehe ya utiaji saini ujenzi wa minara ya simu.waambaji wako badala ya kutamka serikali ae serekali wao wanatamka selekali,hivyo ni kuharibu kiswahili kabisa
  4. F

    Masingo maza ni wazuri mno

    Nakiri kabisa kati ya wanawake 10 nitakaowatongoza wanane ni masingo maza,na ukweli ni wazuri mno na sifa zao ni hizi: 1.ni wasafi mno na hujitayarisha sana kwa sex 2.wanajua sana sex kunzia romansi hadi kwichikwichi na stamina wanayo,na hutikia vizuri sana rizim ya mapigo yangu kila napobadili...
  5. F

    Yanga na simba tusipeane sifa za kijinga

    Tusijenge tabia ya kupeana sifa za kij8nga ambazo hazina msaada wowote kukuza timu.kusifia viongozi mchana kutwa usiku kucha.tujenge timu ki mbinu,kiufundi na kwa stamina,tujenge viwanja,tuwekeze kwa vijana na tulipane vizuri,tuache wizi,uchawi na umalaya
  6. F

    Wanaume na Wanawake, tushirikiane kwenye tendo la ndoa

    Yes ni muhimu sana kushirikiana kwenye tendo la ndoa ili kuongeza furaha,amani kwenye ndoa au mahusiano. Tuwe tunaongea kujua kila mtu apendacho kuanzia romance staili za na mbinu za na kila mtu awe anabuni staili mpya mpya na mkiwa kwenye 6 kwa 6 mshirikiane kila kitu Mfano mwenzio akijamba...
  7. F

    Utajiri wa mawazo

    Utajiri wa mawazo ni muhimu sana katika ujenzi wa nchi,tuwaache watu watoe mawazo yao kwa uhuru,hata kama hatuyapendi
  8. F

    Makampuni ya printing

    Naomba contacts za makampuni yanayo chapisha majarida full color yaliyopo Dar
  9. F

    Yupo wapi Babra Hassan?

    Huyu dada yuko wapi? Nimesikia tangazo Clouds FM kwamba anatafutwa mara ya mwisho alionekana Mikocheni, kunani?
  10. F

    Nipo Mwanza sasa, natafuta mwanamke

    Natafuta mwanamke, msafi msiri, asiwe mke wa mtu, ili nispendi nae kwa wiki 2, kila kitu kwa gharama zangu. asiwe malaya anayejiuza, asiwe mlevi wa kupindukia, awe anayejitambua, akiwa mjasiriamali au mtumishi ni sawa, na msingi wa kuwa pamoja ni furaha, amani, starehe
  11. F

    Mpiga video kwenye harusi

    Natafuta mpiga video kwenye harusi,mwenye vifaa vya kisasa na ujuzi mkubwa aliyeko dar,nina harusi
  12. F

    Kesho nitakuwa Dar, asante Arusha

    Mwanamke mstaarabu,asiwe changu awe tayari kuwa nami kwa siju 5 kwa gharama zangu
Back
Top Bottom