Search results

  1. uzewela

    Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Unajua gharama yabujenzi wewe au unaongea tu?? Nyumba ya vyumba vitatu 25m puuuhhh
  2. uzewela

    Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Ningewahamisha kila mtu sehemu anayotaka na kuwajengea nyumba zao upya na kuwapa mtaji ili angalau wawe kama walivyokuwa kabla ya mafutiko kutokea.halafu eneo Lao lililo athurika ningegeuza bwana la samaki mamba kiboko nk
  3. uzewela

    Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    Mm urafiki ulikufa na mshikaji wangu baada ya kujifanya demu na akaanza kunitongoza akajua ninashobokea mademu.nilikuwq na chati nae kwa namba ngeni ambyo nilimwambia ni wrong namba ila aliendelea zoezi lilienda kama wiki hivi mwisho wa siku akaja kusema yeye ni fulani.nilimkataa mazima hadi leo...
  4. uzewela

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Vumilia Mpenzi wa UVC.university corner
  5. uzewela

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    2022 unaona umesota sana mtaani ndugu? Bado hujasota,kuna watu wana miaka 7 na kuendelea toka wamalize vyuo na bado kazi hawajapata.komaa wakati wa mungu ni wakati sahihi.usikate tamaa
  6. uzewela

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Na wewe Huna akili kabisa unaonekana popoma.unaendaje na mtoto kwa mchepuko wako unamfundisha nini huyo mtoto akiwa mtu mzima?Shenfield kabisa ungekuwa karibu ningekutia konzi
  7. uzewela

    Duka la Kwanza la Pombe kufunguliwa Saudi Arabia

    There are no credible historical sources or evidence to support the claim that King Abdulaziz of Saudi Arabia killed a United Kingdom ambassador due to the influence of alcohol, and that this incident was the reason for the prohibition of alcohol in Saudi Arabia since 1952. The prohibition of...
  8. uzewela

    Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Njoo kwangu. Mm mwenyewe niliteseka sana.nilifikia hadi hatua ya kujisaidia blood clot.ila sasa niko poa nadunda vzr kbsa.njoo inbox kwa maelekezo zaidi
  9. uzewela

    Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

    Hata ikiwa nwisho wako kuishabikia simba.wewe ni sawa na uchote maji bombani upeleke baharini. Huna maajabu
  10. uzewela

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Asante sana ndugu.nimepata bidhaa sehemu ile ile uliyonielekea
  11. uzewela

    Kama tunamtafuta Waziri Bora wa Mwaka 2023 binafsi nampendekeza Mchengerwa, Jamaa amepiga Kazi

    Kigezo kimoja tu kinamtoa out.kwa sababu ni mkwe wa mama.icho tu
  12. uzewela

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Shukraani ndugu.nitafanya ivyo
  13. uzewela

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Habari! Nahitaji kujua chimbo la chupa hizi kwa bei ya jumla k koo.asante
  14. uzewela

    Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

    Wanaangalia time value for money.hutaki unaacha tu
  15. uzewela

    Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Hata kama away game zipo sio kwa kiwango cha kutaja majina sehemu isiyohusikq
Back
Top Bottom